‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi[emoji257][emoji519][emoji174]
Kwamba umependa dp au jina[emoji16]..dah kwel bongo bahat mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…