Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
😂😂Daa! Mtu anatembea na kipande cha moyo, hii ni hatari kwa afya ya mhusika.Pasipo kujali umri wako,
Una watoto wangapi,
Kuna watangulizi wangapi,
Una komwe,
Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔