To you Ephen

To you Ephen

After pale, kwanini ulianza kulalamika amekublock. Mara umtafute kwa namba ngeni?
Lete nione, I swear the last time we had a talk ndo siku I cancelled everything.

Never checked her, au story zingine. And let's keep her aside tusjije onekana tuna tafuta attention.
 
Nipo nipo, kuna hisia zinaniambia ID iliyofungua huu Uzi ni yako. Bado unaendeleza harakati zako za kunipeperushia ndege wangu 😅😅
Hiyo yako umetuzunguka
Umeona watakucheka ukija front na id yako iliyozoeleka utakosa wachuchu wengine unaowapigia mingle..!! Naijua hiyo 😂😂😂
 
🤣🤣🤣 Tatizo Pm zimefungwa babu, tukifungua huu upuuzi utaisha.
Jitahidini kuziweka Wazi, huenda ukapata chaguo lako huku huku

Hata kama hamtafikia Kuoana(Ndoa) lakini baada ya mahusiano utakuwa umepata uzoefu (Experience) 🤗

Kama Kazini wanataka uzoefu wa miaka 3 na kuendelea vipi ndoani 😅

Mwenzio akisema babe leo naomba unipee Popokanyea Mbingu, inakuwa faster unaijua 😜🏃🏃🏃🏃
 
Hiyo yako umetuzunguka
Umeona watakucheka ukija front na id yako iliyozoeleka utakosa wachuchu wengine unaowapigia mingle..!! Naijua hiyo 😂😂😂
Yani niikache ID yangu hii, alafu nikatongoze na ID mpya? That's can't be me 😅😅😅.
 
Back
Top Bottom