To you Ephen

To you Ephen

Kazama, anamjua? Yani huu mtindo wa kushobokea ID ovyo kuna mtu tutasikia amepigwa pipe.

Yani wanashindwa hata kuomba pm zifunguliwe ili wakamwage sera zao huko, wanaishia kukata viuno majukwaani. Huu ni Uzi kama wa 10 wa dizaini hii.

Itabidi nianzishe kampeni ya kuwaomba wadada wa humu wafungue pm zao, madogo wana weweseka sana.
Manhood inapotea kabisa ani,kwa staili hii sarafu itazidi kushuka
 
Ooooh, sex of ephen is female, i was know ephen is male
 
WATU KAMA NYIE MKIAMBUKIZWA HATA UKIMWI NI HAKI TU, Unajua status yake?
 
Zamu yangu sasa nyie khaah kila siku wao mnafkir sie twajiskiajeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom