[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mzee ebu acha kunijazaKwanza ndio namalizia kuandika thread yenye inakuhusu mujarab kabisaaaa.....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiria na mm siku nikushushie thread sijui utasema hivyohivyo huyawezi we mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hisia ni jambo gumu kidogo kulielezea, pengine inahitaji kujifyatua lock kwa sehem kama humu ndani.... ili uweze kuelezea kile unacho kiamini na hata ukaeleweka kwa mtazamo chanya, hata kwa akina saa mbovu kama mimi...tehteehh
Acha umbea babe Mwifwa anaingiaje kwenye familia yetu hukuComrade....
Haujawahi kuniangusha..tehteehh [emoji12] [emoji12]
Mwifwa ebu pitia hapa umuelekeze huyu kijana mwenzako hukusu kilicho kusibu siku za hapa karibuni
Hahhaha sasa utoke uende wapi unabaki tu kupambana na thread yako we mzeeHahahaha, hy itakua Kali ya mwaka,unataka nitoke humu JF na uzee huu nitaenda wapi mie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha za nje bwana auntieZa nje au za ndani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli maisha hayana usawa.
Wengine wanapendwa kule mtu anatendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iliyopo mezani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kaka wa mimi unaunga mkono hoja ipi kwanza?
Kwanza leo tulipo toka kwa jumuiya, wife akaniambia amepanga kunipa zawadi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we mzee ebu acha kunijaza
HahahaEbu tupishe kwenye mambo ya msingi aiseeee.......
Wewe kadake machozi ya Simba pale Waswanu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
@shunie kijoti kinakuhusu.Kwanza leo tulipo toka kwa jumuiya, wife akaniambia amepanga kunipa zawadi....
Basi ilipo wasia saa sita mchana, akaniamsha kisha akaniambia tutoke.....
Mara paaahhpp, tukaingia pizzeria (anajua ninapenda sana pizza), sasa katikati ya kukula akaniuliza kuhusu wewe (eti mbona unanipea like mob zaidi ya Khantwe