To you my love "Tumbili wa mjini"

To you my love "Tumbili wa mjini"

Na haya yote umeyatoa kichwani mwako!!! Hongera kwa maana nilidhani ni wanaume tu ndio wenye uwezo wa kupanga maneno ili kukamilisha mada zenye mlengo huu, kumbe sikuwa sahihi bhana.
Kama mtoa mada ni mwanamke basi atakuwa kavunja record ni ngumu sana kwq mwanamke kumtongoza mwanaume ngumu sana asee!
 
Baba yake tumbili akiwa ameifuma simu ya mwanae akiupitia uzi kuona namna dogo anavyoibiwa kizembe
FB_IMG_1736342844344.jpg
 
Back
Top Bottom