To you my love "Tumbili wa mjini"

Una uhakika huyo tumbili mwenyewe yupo humu au ameshanaswa na mitego baada ya kula Mahindi ya watu? 😜

Hongereni sana Vijana kupendana

Sisi Jukumu letu ni kuwatakia heri kwenye safari yenu ya mahusiano mliyoianzisha na mwenzio tumbili

Vumilianeni ili mfikie kule mnapolenga kufika kama wapenzi

Kila la heri Mkuu
 
Stick with the English version.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…