To you my love "Tumbili wa mjini"

Hongera kwa kumpenda mkaka wa watu sisi wengine tunaonaga couples bado hatujapendwa kama Tumbili wa mjini
 
Na haya yote umeyatoa kichwani mwako!!! Hongera kwa maana nilidhani ni wanaume tu ndio wenye uwezo wa kupanga maneno ili kukamilisha mada zenye mlengo huu, kumbe sikuwa sahihi bhana.
Hata mimi nimeshangaa ila haya mambo uwa yapo unakuta mwanamke anampenda jamaa kupita kiasi alafu jamaa hana mawazo kabisa, ingawa ni nadra sana kutokea na wanaume wachache sana wenye bahati inawatokea hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…