To you my love "Tumbili wa mjini"

To you my love "Tumbili wa mjini"

Marahaba Mjukuu, ndiyo nimeingia huku nyanda za juu kusini kukagua mashamba yangu

Hili baridi ninalokutana nalo, sio la Nchi hii 🙌

Nimemkumbuka ghafla Bibi yenu 🤗
Weeee mbona hukusema nije nikupokee na koti zito zito,,nkupashie na chai fulani upashe tumbo joto Jamaniiii babu
 
Weeee mbona hukusema nije nikupokee na koti zito zito,,nkupashie na chai fulani upashe tumbo joto Jamaniiii babu
Hahaha...............hujanikaribisha tu ningefika.

Kwasasa napata Chai Zion, njia ya kwenda Hospitali ya Mkoa

Pana Kahawa safi sana Kwa Sisi Wazee 🤗
 
IMG_4866.jpeg
 
Hahaha...............hujanikaribisha tu ningefika.

Kwasasa napata Chai Zion, njia ya kwenda Hospitali ya Mkoa

Pana Kahawa safi sana Kwa Sisi Wazee 🤗
yani upo ramadhani hapo,, hukusema kama unakuja,,ila kwenye kahawa kama umenipiga iv😆
 
Back
Top Bottom