Acha umbea BhanaEeh nakufata pm unipe visa mkuuu duuh!
Sijawahi mkuu ๐ ๐
๐ ๐ ๐ nyie wazee mnazeeka vibaya sanaHuyu ni mzee wa mafuta๐คฃ
Ndo usubiri sasa jamaa atupe madiniSijawahi mkuu ๐ ๐
Aaah ngoja tusubiri tumbili mjanjaNdo usubiri sasa jamaa atupe madini
Kashenzii sana kakosa watoto wa diploma au degree ๐๐Dogo anazingua sana
Anfikiri huku ni Online dating sites. ๐
Weeee mbona hukusema nije nikupokee na koti zito zito,,nkupashie na chai fulani upashe tumbo joto Jamaniiii babuMarahaba Mjukuu, ndiyo nimeingia huku nyanda za juu kusini kukagua mashamba yangu
Hili baridi ninalokutana nalo, sio la Nchi hii ๐
Nimemkumbuka ghafla Bibi yenu ๐ค
Mke mwenzio huyo ๐น๐น๐นShem vipi
Sasa unaogopa nini si umwambie km bwana wenu mmoja, akuite mke mwenzie ๐น๐น๐นMimi sio shemeji yako mkali
Hahaha...............hujanikaribisha tu ningefika.Weeee mbona hukusema nije nikupokee na koti zito zito,,nkupashie na chai fulani upashe tumbo joto Jamaniiii babu
Huyu ameharibika zaidi, mafuta na asali hazikauki kwake๐๐ ๐ ๐ nyie wazee mnazeeka vibaya sana
Mmmh naona maarifa yanzidi kukua hadi asali tena?Huyu ameharibika zaidi, mafuta na asali hazikauki kwake๐
Zana za watu hizoMmmh naona maarifa yanzidi kukua hadi asali tena?
yani upo ramadhani hapo,, hukusema kama unakuja,,ila kwenye kahawa kama umenipiga iv๐Hahaha...............hujanikaribisha tu ningefika.
Kwasasa napata Chai Zion, njia ya kwenda Hospitali ya Mkoa
Pana Kahawa safi sana Kwa Sisi Wazee ๐ค
We njoo uonje Kahawa yao, ni nzuri japo inatengenezwa Kwa oda ๐คyani upo ramadhani hapo,, hukusema kama unakuja,,ila kwenye kahawa kama umenipiga iv๐
Npo getini apa enheee nielekee upande ganWe njoo uonje Kahawa yao, ni nzuri japo inatengenezwa Kwa oda ๐ค
Ukiingia tu, upande wa Kulia utanionaNpo getini apa enheee nielekee upande gan