To you my love

To you my love

Mi simo kabisa mkuu, sema sehem kubwa na masaa mengi niliyatumia humu jf. Hivyo sikua na sehem yeyote ambapo nikiweza kukutana na marafiki na kujichanganya.
Alafu mkuu, ujue shida ya watu wengi huchukulia jf as if ni sehem very special, na hapo ndipo tunapo kosea.
Jf ni kama kitaa tu,na hata watu wa jf ndio wale wale ambao tuponao huku Ushirombo, so nothing special here mkuu....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona mambo yenu ya nje ya jf mliyaleta jf? Wambea tulifaidiii.
 
Hapana, maana mdogo wangu @baily5 alinitambulisha kwa wifi yangu. Hivyo nasubiri taarifa rasmi kutoka kwake.
Mkuu, kutambulishwa ni desturi yetu waTanzania kama sio Africa......
Lakini panapo tokea tafarani, kila mmoja hutafuta njia yake ya kupita na kisha walio tambulishwa wanaanza kuona na kukabiliana na mabadiliko.
Humu sio mbinguni ama peponi kwamba watu hawaachani, na pia bado wanapo tokea wawili wakaachana.... Maisha lazima yaendeleee tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom