To you my love

To you my love

Mkuu, kutambulishwa ni desturi yetu waTanzania kama sio Africa......
Lakini panapo tokea tafarani, kila mmoja hutafuta njia yake ya kupita na kisha walio tambulishwa wanaanza kuona na kukabiliana na mabadiliko.
Humu sio mbinguni ama peponi kwamba watu hawaachani, na pia bado wanapo tokea wawili wakaachana.... Maisha lazima yaendeleee tu

Sent using Jamii Forums mobile app
popote pale utakaponyanyua mguu naweka wangu at my own risk
 
Mkuu, kutambulishwa ni desturi yetu waTanzania kama sio Africa......
Lakini panapo tokea tafarani, kila mmoja hutafuta njia yake ya kupita na kisha walio tambulishwa wanaanza kuona na kukabiliana na mabadiliko.
Humu sio mbinguni ama peponi kwamba watu hawaachani, na pia bado wanapo tokea wawili wakaachana.... Maisha lazima yaendeleee tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliniahidi hawatoachana mkuu. Sasa kwanini wakaachana bila kunipa taarifa!!!
 
Ingekua mimi ndie wewe, ningemshauri asikuje nawala asijitokeze kwenye huu uzi aiseee......
Ujue mkuu, jf ni pana kama gagulo la msomali, chunga tu usije ukakasirika

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo wewe ulikuwa mwingi sana nawe, uliwekeza sehsmu nyingi ndio maana ukadababisha tafrani. Hawa wana uhakika kuwa wako real na hawana makandokando ndio maana wanajitokeza hadharani.
 
Hahaahaaa.......
Mkuu, ujue panapo tokea tafarani maranyingi huwa napenda ninyamaze ili kuokoa jahazi.
Nakwa situation yeyote ambayo inaweza ikanikumba ama kunikuta kwa hapa jf, kamwe huwa sitoi nafasi ya kubishana.
Zaidi napenda nikue msomaji kama wasomaji wengine, maana bila hivyo jf inaweza ikaja ikaungua skumoja....tehteehh

Hope now umeacha makandokando[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Baby, hii surprise imenifanya nimepata mshtuko nisokua nimeutarajia, leo umeniweza honey umeniweza mm,

Archduke, I want to thank you for all the wonderful ways you make me happy, even when you don’t realize it.

Just seeing your face or hearing your voice can make my day already.

It’s a treat when I get to spend the entire day with you and do all our favorite things together.

Because of you, I have a permanent smile on my face and butterflies fluttering in my stomach.

Thank you for giving me this giddy, happy feeling

I love you, yes i love you to the moon and back
 
Back
Top Bottom