Tunaulizana tutafungua biashara gani ili tuweze kuongeza njurukukumbe mnafanya nini sikuiz??
Bado nipo sawa Sana mkuu, maana bila hivyo.... Basi ningekua nishaikimbia hii ID kitambo, kama alivyo tangulia kusema espykwamba umekwepa mishale mingi na bado uko byeee
Wakubwa tumekuelewa mkuu....Hapana sijasema alisha kinukisha usininukuu vibaya ndugu yangu
Sijui kupigana mim
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua mimi ndie wewe, ningemshauri asikuje nawala asijitokeze kwenye huu uzi aiseee......atakuja nishamuita, stay calm mkuu
sawa mkuu utakaponyanyua nyayo yako naweka yanguBado nipo sawa Sana mkuu, maana bila hivyo.... Basi ningekua nishaikimbia hii ID kitambo, kama alivyo tangulia kusema espy
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja aje bhanaIngekua mimi ndie wewe, ningemshauri asikuje nawala asijitokeze kwenye huu uzi aiseee......
Ujue mkuu, jf ni pana kama gagulo la msomali, chunga tu usije ukakasirika
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaah sana ...salamu inapoteza muda kwa kweli hahahahahahamaisha yanaenda kasi sana nowadays
Sasa mbona mambo yenu ya nje ya jf mliyaleta jf? Wambea tulifaidiii.Mi simo kabisa mkuu, sema sehem kubwa na masaa mengi niliyatumia humu jf. Hivyo sikua na sehem yeyote ambapo nikiweza kukutana na marafiki na kujichanganya.
Alafu mkuu, ujue shida ya watu wengi huchukulia jf as if ni sehem very special, na hapo ndipo tunapo kosea.
Jf ni kama kitaa tu,na hata watu wa jf ndio wale wale ambao tuponao huku Ushirombo, so nothing special here mkuu....
Sent using Jamii Forums mobile app
hebu ngoja tuone me nimefungua macho hapa kama vile ulivyosema mkuuIngekua mimi ndie wewe, ningemshauri asikuje nawala asijitokeze kwenye huu uzi aiseee......
Ujue mkuu, jf ni pana kama gagulo la msomali, chunga tu usije ukakasirika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, maana mdogo wangu @baily5 alinitambulisha kwa wifi yangu. Hivyo nasubiri taarifa rasmi kutoka kwake.kwema lakini???
Hata mimi nilishangaa kama wewe tu mkuu, na kwakua nilijiskia fedheha niliamua kuchutama tuSasa mbona mambo yenu ya nje ya jf mliyaleta jf? Wambea tulifaidiii.
Sidhani kama nakushauri vibaya chief, maana sijawahi kupenda kuona yeyote anarudia kufanya kosa ambalo binafsi likisha wahi nigharimuhebu ngoja tuone me nimefungua macho hapa kama vile ulivyosema mkuu
mkuu hebu ngoja kwanza nioneSidhani kama nakushauri vibaya chief, maana sijawahi kupenda kuona yeyote anarudia kufanya kosa ambalo binafsi likisha wahi nigharimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kutambulishwa ni desturi yetu waTanzania kama sio Africa......Hapana, maana mdogo wangu @baily5 alinitambulisha kwa wifi yangu. Hivyo nasubiri taarifa rasmi kutoka kwake.