Hahaha!!! Chukua hatua!
popote pale utakaponyanyua mguu naweka wangu at my own riskMkuu, kutambulishwa ni desturi yetu waTanzania kama sio Africa......
Lakini panapo tokea tafarani, kila mmoja hutafuta njia yake ya kupita na kisha walio tambulishwa wanaanza kuona na kukabiliana na mabadiliko.
Humu sio mbinguni ama peponi kwamba watu hawaachani, na pia bado wanapo tokea wawili wakaachana.... Maisha lazima yaendeleee tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaha!!! Chukua hatua!
Waliniahidi hawatoachana mkuu. Sasa kwanini wakaachana bila kunipa taarifa!!!Mkuu, kutambulishwa ni desturi yetu waTanzania kama sio Africa......
Lakini panapo tokea tafarani, kila mmoja hutafuta njia yake ya kupita na kisha walio tambulishwa wanaanza kuona na kukabiliana na mabadiliko.
Humu sio mbinguni ama peponi kwamba watu hawaachani, na pia bado wanapo tokea wawili wakaachana.... Maisha lazima yaendeleee tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]kutoka kwao kwa ujumla nipo hapa nimetulia kufatilia na mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ingekua mimi ndie wewe, ningemshauri asikuje nawala asijitokeze kwenye huu uzi aiseee......
Ujue mkuu, jf ni pana kama gagulo la msomali, chunga tu usije ukakasirika
Sent using Jamii Forums mobile app
Abee kwema naitwa sjaelewa naitiwa nn
Teh teh teeeeh!! Mi ndio maana sitaki.Hata mimi nilishangaa kama wewe tu mkuu, na kwakua nilijiskia fedheha niliamua kuchutama tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope mkuu, bahati mbaya zipo hata huku mitaani..... huwa tunazodolewa sana, na hata tunasemwa sana tu kuhusu bamia zetu....tehteehhTeh teh teeeeh!! Mi ndio maana sitaki.
Ambiele Kiviele madame huyu hapaAbee kwema naitwa sjaelewa naitiwa nn
Hahaahaaa.......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo wewe ulikuwa mwingi sana nawe, uliwekeza sehsmu nyingi ndio maana ukadababisha tafrani. Hawa wana uhakika kuwa wako real na hawana makandokando ndio maana wanajitokeza hadharani.
Mmmh!! Hamna bwana vibamia tunavisema tu huku mitandaoni. Ila in reality tunazikumbatia[emoji85] [emoji85]Usiogope mkuu, bahati mbaya zipo hata huku mitaani..... huwa tunazodolewa sana, na hata tunasemwa sana tu kuhusu bamia zetu....tehteehh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hope now umeacha makandokando[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahaahaaa.......
Mkuu, ujue panapo tokea tafarani maranyingi huwa napenda ninyamaze ili kuokoa jahazi.
Nakwa situation yeyote ambayo inaweza ikanikumba ama kunikuta kwa hapa jf, kamwe huwa sitoi nafasi ya kubishana.
Zaidi napenda nikue msomaji kama wasomaji wengine, maana bila hivyo jf inaweza ikaja ikaungua skumoja....tehteehh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaaa....Waliniahidi hawatoachana mkuu. Sasa kwanini wakaachana bila kunipa taarifa!!!
It's real, nimeconfirmJF Chit Chat has turned into lovers’ lane, lately!
But I wonder if it’s real or just flight of fancy!
Who the hell knows....
Utapata wako inshallah
Pesa zake jaman natumia mie hahaha ameeka dp gan sioni mmOk wewe ndo kwenye dp picha ya madame s?
If yes umzuri na unafaa kwa matumizi je pesa nayo ipo?