NiaminiMmmmh!!
Ooooh kumbe!! Thot ni drama tu za kusukuma siku humu. Basi iwe heri hii isivunjike.Haikua drama, ilikua real nje ya jf lakini haikua riziki.
Sijui chochote
Hayo ya kutomuona kwa kweli sjui chochote mm, ndio hivo dadaOoooh kumbe!! Thot ni drama tu za kusukuma siku humu. Basi iwe heri hii isivunjike.
Kumbe ndio maana simuoni tena mdogo wangu humu.
Tupo pamoja ndugu mjumbe
just relax babeHivi hamjui kuna kupendana na kuachana??? Halaf s jambo geni kuachana na mtu hamjui ilikuaje tukaamua kuachana, eleweni me na yeye we are no more. Nina haki ya kufanya chochote ili mradi nisivubje sheria za jf na nchi hii, yes nina haki ya kupenda na kupendwa tena baada ya kuachana na ndio hivi
Haya mama, kila la kheri.Niamini
Hahahaha nimekumissa sana
Relax dada, hujanikwaza wala, na n haki yako kujua sababu ilikua public kama hivi dema ndio hivo tenaaaHaya mama, kila la kheri.
Shida humu zisizo real na real kuzitofautisha ngumu.
Nisamehe kama nimekukwaza, nilijua ni utani tu wa jf mamii.
Aisee nimeshikwa na bumbuwazi, kweli you are in love honeykama wewe unavyonipatiaga kaone
Ungekosekana kwenye huu uzi ningeliaNukuu
'' Huna mapenzi ya kupima mapenzi ya upande mmoja unanipa muda wako, hukawii kujishusha kama nikipanda"
Mimi kama mpenzi mtazamaji hii nukuu nimeielewa barabara[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata me naona bae s kwa kutuchunia hukukaka yako katekwa sehemu fulani hivi
Tuombee msamaha Kwanza... au ulipe fidia M5.Haya mama, kila la kheri.
Shida humu zisizo real na real kuzitofautisha ngumu.
Nisamehe kama nimekukwaza, nilijua ni utani tu wa jf mamii.
Abee
Hahahahhaa we babeili umwambie unayomwambiaga haya uje umwambie tulichomteta juzi maana hujui kukaa na kitu kaone