To you my love

To you my love

Sina share holder...Unataka niwe nayo?

Waliokuwa wanaanzisha wapo likizo ya uzazi. Nianzishie basi.
Kwahiyo uliuwa mshika mapembe? Siredi uanzishiwe wewe, mimba wapige wengine[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Uki-RIP nitakuanzishia kaka yangu.
 
Kwahiyo uliuwa mshika mapembe? Siredi uanzishiwe wewe, mimba wapige wengine[emoji134] [emoji134] [emoji134]

Uki-RIP nitakuanzishia kaka yangu.
Unaombea nishike mapembe eeeh?

Nianzishie bhana nitakulipa... Yaani kila siku nikijitahidi kukutongoza unianzishie sredi haushawishi kabisa...sijui shida nini.
 
Back
Top Bottom