To you my love

Hahahhahahhaa espy hahhahahahhaha pls usiwe mkali hebu, si kama haya yaliyotokea before na mambo yanakuwaga hot hum tunashangaaga tu

khakhakhaaaaaaakhaaaaaaaaaaaaaaa ngoja nikale mie Smart911 kanifunda vyakutosha..... vya Shari Shari na maugomvi nimevitua misriiiiiiiiiiii

Have a good night madimazele na yua sherii
 
Naanzaje kuachia, kuna wakati wa binadam na wakati wa Mungu, huyu ni Mungu tu kutukutanisha nimebarikiwa mimi, nikianza kusema mema yako nitaongeza pages na sitamaliza, nipende tu
nakupenda jana, leo, kesho na milele nakupenda kila siku madame
 
khakhakhaaaaaaakhaaaaaaaaaaaaaaa ngoja nikale mie Smart911 kanifunda vyakutosha..... vya Shari Shari na maugomvi nimevitua misriiiiiiiiiiii

Have a good night madimazele na yua sherii
mahondaw hata usichukulie serious ukiweza kuwatambua binadam hakunakitu kitakusumbua, sisi tuko kama vidole vya mikono hatulingani mengine usiweke akili labda vya serious sana,

Alochonifundisha Archduke s kila mtu anajibiwa maa, msalimie kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…