Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Shikamoooo[emoji3][emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoooo[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] hadi tarehe unaikumbuka
[emoji113] [emoji113] [emoji113]Aisee , mkigombana mje pia humu humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutamkumbushahalafu T anajifanya amesahau chizi huyu 🙂 🙂
Takukumbusha nyumbani kfKweli Tumo nimesahau..
Naanzaje kuachia, kuna wakati wa binadam na wakati wa Mungu, huyu ni Mungu tu kutukutanisha nimebarikiwa mimi, nikianza kusema mema yako nitaongeza pages na sitamaliza, nipende tuusiachie hapo babe
Hahahhahahhaa espy hahhahahahhaha pls usiwe mkali hebu, si kama haya yaliyotokea before na mambo yanakuwaga hot hum tunashangaaga tu
Ndo kivuruge wetu yuleshemela acha tu shunii alituweza wallah
Hahahhaa sie hua tunamalizana wenyewe hatufiki kokote sometimes Sesten Zakazaka ndio anaambulia vikesi vya ajabu tu ila seriously umenibadilisha sana mimi sina cha kusema wallah
Jakuita mie honeybabe umeniita??
Nan huyoHii tabia ya kufunga Pm,Mungu tu ndo anaejua tabu tunazopata wenzenu
nakupenda jana, leo, kesho na milele nakupenda kila siku madameNaanzaje kuachia, kuna wakati wa binadam na wakati wa Mungu, huyu ni Mungu tu kutukutanisha nimebarikiwa mimi, nikianza kusema mema yako nitaongeza pages na sitamaliza, nipende tu
mahondaw hata usichukulie serious ukiweza kuwatambua binadam hakunakitu kitakusumbua, sisi tuko kama vidole vya mikono hatulingani mengine usiweke akili labda vya serious sana,khakhakhaaaaaaakhaaaaaaaaaaaaaaa ngoja nikale mie Smart911 kanifunda vyakutosha..... vya Shari Shari na maugomvi nimevitua misriiiiiiiiiiii
Have a good night madimazele na yua sherii