To you my love

Afu hiyo kushuka na kupanda ni nahau nimetohoa kutoka kwenye mashairi ya archduke mwanzoni mwa uzi.

Hivyo usinielewe vibaya...bora umuelewe vibaya mleta shairi (archduke) [emoji41]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya nawe kashuke na kupandana sasa.
 
Allah kaingia vipi hapa tena uncle..? [emoji3][emoji3]

Wewe sio ndio umecomment ?
sasa nimekuelewa mkuu aisee yani umefanya mpaka nirudi page ya 27 huko nimesoma tena mada nikaja kuhitimisha hapa kwenye comment yako"

mbona mafumbo mengi hivi mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…