Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Hebu rudi kasome hiyo comment ya archduke ukiwa na akili za shunie...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chizi wewe, yaani nimecheka.
Afu uje unihadithie..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu rudi kasome hiyo comment ya archduke ukiwa na akili za shunie...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chizi wewe, yaani nimecheka.
Kikubwa ni uhai tu mkuumataruma vp??
Nauliza mnapandana na kushukana vipi bila kuanzia pm ndio mpeane namba..?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkwe maswali gani haya lakini unaniuliza?
Hadhira ni muhimu sana kwenye kufanikisha mambo mbalimbali.Hahahahhahaa wewe bwana
Afu hiyo kushuka na kupanda ni nahau nimetohoa kutoka kwenye mashairi ya archduke mwanzoni mwa uzi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkwe maswali gani haya lakini unaniuliza?
And please don't stop loving himWallah,hii ni best surprise i have ever had kaka angu nampenda m
Hongereni kwa mara ya pili.Hahahaha kaka nilimwambia natoka jf kidogo nilikua mechoka choka nikasema nalala na akanambia ulale uamke saa kumi sasa hiyo saa kum me ndio usingizi mzito hasa, meamka hii jioni nakuta msgs zake lakini hajanambia kama kaandika huu uzi
Naingia nakuta notification nikajib kawaida tu had naja soma vizur kumbe nakuta uzi unanihusu,
Kaka, upendo wake kwangu ni zawadi ambayo nitaitunza kwa hali namali, furaha yangu ni yake huzuni yake ni yetu sote kaka, usione nakupa kesi mwenyewe mefika mkufa meoza kabisaaa haya n zaidi ya mahaba, napendwa mm kaka
Suluhu imekosekana bwana.Haya jitahidini kutafuta suluhu ya tatizo hilo
Allah kaingia vipi hapa tena uncle..? [emoji3][emoji3]sina uhakika sana kama nimekuelewa
umeweka huko kwa matumizi yako ya badae isn't?? no one knows tomorrow
nimemuachia Allah kila kitu
Haiwezi kukosekana, maana tafiti bado hazijafika kikomoSuluhu imekosekana bwana.
Hahahaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Labda ni hilo pilau ulilosema tumekula jana
Kwani ina nini? Akili ishachoka hata sielewi tena.Hebu rudi kasome hiyo comment ya archduke ukiwa na akili za shunie...
Afu uje unihadithie..
HahahahahhaaaHahahaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya shemela amekazia mule mule..[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kumbe ndio inakuwaga hivyo!!Nauliza mnapandana na kushukana vipi bila kuanzia pm ndio mpeane namba..?