To you my love

To you my love

Hahahaha kaka nilimwambia natoka jf kidogo nilikua mechoka choka nikasema nalala na akanambia ulale uamke saa kumi sasa hiyo saa kum me ndio usingizi mzito hasa, meamka hii jioni nakuta msgs zake lakini hajanambia kama kaandika huu uzi

Naingia nakuta notification nikajib kawaida tu had naja soma vizur kumbe nakuta uzi unanihusu,

Kaka, upendo wake kwangu ni zawadi ambayo nitaitunza kwa hali namali, furaha yangu ni yake huzuni yake ni yetu sote kaka, usione nakupa kesi mwenyewe mefika mkufa meoza kabisaaa haya n zaidi ya mahaba, napendwa mm kaka
Hongereni kwa mara ya pili.
 
Back
Top Bottom