SawaSi ndio uzitafute kwanza, utatukuta mbele ta safari ukishazipata.
Walai vile bass tuu hapa unajifaraghua tuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Thubutu yako!
Haina noma mlio win lifeWe bado mtoto bwana, tutashtakiwa na jamhuri.
Yaani ach kabisa, tutamfaidi balaa, alafu pesa pia ipo.Ndo mana nakupenda mwenza wangu.
Uniambie baadae dhahabu uliyovumbua
Ah ah ah ah ah ah maskin Davinci wa watuTena akae mita 100 kama yuko kwenye uchaguzi wa Madiwani wa M4C Arachuga
Ashirikiane na nani!! Akuuu
Sihitaji tu kupenda tena mimi nampenda daktari najuta kwa mabaya yote niliyofanya lakini anatambua hilo nimedata kwake mpaka nywila ya Jf nimempa nitake nini tena?
Ila uyu Madame B uyi mwee mwache tuuuuLengo la huu uzi ni kunipa madongo
Lengo langu nipate mwanamke asiyejali kama napokea efu 10 au milion kwa mwez
We bado unanuka maziwa.
Dada jaman unapenda hela kunizid mimiYaani ach kabisa, tutamfaidi balaa, alafu pesa pia ipo.
Heheeeeeee
Mtakuwa mshazeeka sasaSi ndio uzitafute kwanza, utatukuta mbele ta safari ukishazipata.
Afadhali....chaaaaaaa!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaah ndio maana nasema wachuchu wa humu ni ndoto kwangu
Kulalek kuwen na roho ya huruma jaman khaaaaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Achana nae anajipa matumaini tu.
Mwambie mwanaume asie na pesa, kwetu tunamuona kama debe tupu...haliachi kutika
Hilo silijui kwanza kila nikiingia jf nakosa rahaaa sasa nifanye utaratibu mwingine
Tunamsubiri awe dhahabu sokoni, huko mchangani acha wampembue wengine kwanza.Da vinci Almasi mchangan sema bado haijastukiwa
Uyo espy kaona vipande vya chupa tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app