To you my love

Hahahaha Madame B shukran jazillah, ndio binadam hawa tuwazoee tu, ukiona hivo jua nafasi hajapata na hajapata wa hivi anataman na yeye
 
mbunifu ni yule mtu anaeunda kitu chake yeye mwenyewe kikawa chake..hapo kwenye simu tungekuwa tunaendeleza kazi iliyofanywa na mbunifu...karibu jf
Ulinifundisha s kila mtu anajibiwa honey
 
Tungekuwa wabunifu kwenye mambo ya kimaendeleo kama haya tulivyowabunifu wa maneno basi tungekuwa tunaunda simu zetu tu kwa sasa.
Hukulazimishwa ukoment, hukuitwa, haikua nanulazima ukoment hata hivyo kuna jukwaa la gadget waweza kwenda huko sie tuachie nandunia tulioichagua
 
Mkijaachana piaa mtutaarifuu tujuee

Sent using Jamii Forums mobile app
Imekukera??? Hutuombei mema watuombea mabaya?? Binadam bwana, mbona hatupendani? Kwa hiyo unekaa hapo ukaona uandike hivi?? Baby Archduke naomba huyu awe mshenga wako mana jiroho lamdika dika naomba awe mshenga wako ajue kila kinachoendelea ili asipate shida kupata update zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…