Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Mpende mwaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpende mwaya
Hahahaha Madame B shukran jazillah, ndio binadam hawa tuwazoee tu, ukiona hivo jua nafasi hajapata na hajapata wa hivi anataman na yeyeWe nawe....
Cha ajabu nini hapo.
Acha mapenzi yatawale na yatawaliwe.
Madame S na Archduke pendaneni mwaya.
Wenye roho za korosho watajikaanga.
Tusipokuwa na wapenzi, mnasema tuna gundu....tukiwapata mnasema hatuna soni.
View attachment 845784
Tunakutia katika Dustbin
Me ndio sijiwezi juu yako
KwemaAisee[emoji23]
Vipi[emoji3][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinifundisha s kila mtu anajibiwa honeymbunifu ni yule mtu anaeunda kitu chake yeye mwenyewe kikawa chake..hapo kwenye simu tungekuwa tunaendeleza kazi iliyofanywa na mbunifu...karibu jf
Hukulazimishwa ukoment, hukuitwa, haikua nanulazima ukoment hata hivyo kuna jukwaa la gadget waweza kwenda huko sie tuachie nandunia tulioichaguaTungekuwa wabunifu kwenye mambo ya kimaendeleo kama haya tulivyowabunifu wa maneno basi tungekuwa tunaunda simu zetu tu kwa sasa.
Endelea kufurahi
Pole jamanNimepotea hili jukwaa kama utumbo wa kuku huku uswazi
Kwema
Hahahahahaha
amina
Imekukera??? Hutuombei mema watuombea mabaya?? Binadam bwana, mbona hatupendani? Kwa hiyo unekaa hapo ukaona uandike hivi?? Baby Archduke naomba huyu awe mshenga wako mana jiroho lamdika dika naomba awe mshenga wako ajue kila kinachoendelea ili asipate shida kupata update zetu
Duh, asante hahahaha hii picha thoView attachment 845646Hongera mkuu kwa kupata demu mzuri anayejitambua
Hana, mpatieNamba yake huna ?