Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utatuletea wajukuu wanaongea kikuyu..Leo ndio mepajua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] walitunyooshahatari sana shemela ile siku sisahau
Nakuzooom mdogo wangu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utatuletea wajukuu wanaongea kikuyu..
Usiende tena [emoji41]
My dear mahondaw, kabla hujanambia tuee makini zaman nishajua na naona sababu mengi yametokea humu meyaona mengine yalinikumba lakini mwisho wa siku maisha yanaendelea, mimi binafsi sijali chochote, sijali mtu yoyote atakachoongea, nampenda nilekua naye tena nampongeza haswa had leo tumefika hapa haikua kazi rahisi, na hakukata tamaa, yote n maisha najifunza bado tunajifunza kwa pamoja, ninachozingatia unapoanguka kokote kule nyanyuka jipanguse mavumbi songa mbele ndio hikimefanya, inshallah Allah atupe kila lenye heri.
Hahaaaaa. .!
Hahahhahahhaa espy hahhahahahhaha pls usiwe mkali hebu, si kama haya yaliyotokea before na mambo yanakuwaga hot hum tunashangaaga tuKwani mnakutwaga na nini jamani!!!!
Maana wengine wazushi tu, kama huyo shosti yako kujifanya tunamtongozea bwanake bila hata haya!! Nilimind kweli aiseeee!!!
Ila wenzako kule ndio wanapiga wanaume...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja nikabadili ladha mkwe.
Ahahaha ndio uone memshika pabaya yuko mikono juu saa hiiArchduke mmoja ambae hawezi kupublise vitu kama huyu.
Kweli Tumo nimesahau..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] walitunyoosha