To you my love

To you my love

sasa nimekuelewa mkuu aisee yani umefanya mpaka nirudi page ya 27 huko nimesoma tena mada nikaja kuhitimisha hapa kwenye comment yako"

mbona mafumbo mengi hivi mkuu??
Hapo hapooooooooo!


Nashukuru kama umeelewa.

April 01 2017 on air..!

Play few card..! Keep some. [emoji41]
 
Hivi mke mwenza uliomba talaka bila kunitaarifu!!!
Mie peke yangu simuwezi huyu mwanaume ujue!!
Mwenza, mie yalinishinda.
Mme gani mwezi wa 4 huu hajui mkewe anakula na kulala wapi.
Akha!!!
Nakuachia upambane na huba lako mie nilijipa talaka mwenyewe.
Sahv nachanua na penzi jipya la mwanaume bikra
 
Back
Top Bottom