Sijui yuko wapi sasa huyu mwamba?
Kila alichokisema katika nyimbo zake hizo mbili ninakabiliana navyo kila siku na kuvishuhudia;
-masjala file lako litaonekana tu kama utawapoza kidogo wale ps, la sivyo utaona linatafutwa kila siku.
-mpe mwalimu pesa uone mtoto anavyofuatiliwa na matokeo yote utayapata
-ndugu gani atakuwa na stori na wewe siku hizi?!!! Yuko busy na maisha yake.
-mzazi gani anaangalia watoto siku hizi? Yuko busy na utafutaji wa pesa.
Hayo machache tu katika mengi maudhui yaliyomo mle.
Ile hip hop imeenda wapi?!!!!!