maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Ushauri wenu hauto fanyiwa kazi, why? Hawa watu wanawajua na wamenyamaza na kuendelea nao unadhani unadhan watasikiliza ushaur wowote ule?WanaJF,
Yaliyosemwa na retired CDF kuhusu matukio yaliyotokea muda mchache kabla ya Magufuli kufariki miaka 3 iliyopita tumeyasikia.
Baadhi ya matukio ni kikundi fulani kutaka katiba isisimamiwe. Aliyekuwa CDF akakataa
Matukio haya yanasikitisha lakini tukiyanyamazia yanaleta precedence mbaya.
Waliohusika wapo serikalini na wanaishi kwa kodi zetu mpaka leo. Hii ni hatari.
Kama wazalendo tushauri adhabu inayowafaa hao watu sababu hawatakiwi kuwepo kwenye jamii ya waliostaarabika
Wapongezwe kwa sababu walifuata katiba. Hivi watanzania huwa mnataka katiba ifuatwe au mapenzi ya mtu au ifuatwe tu pale mnapoona nyie inafaa na isifuatwe pale ambapo mahaba yenu hayataki?WanaJF,
Yaliyosemwa na retired CDF kuhusu matukio yaliyotokea muda mchache kabla ya Magufuli kufariki miaka 3 iliyopita tumeyasikia.
Baadhi ya matukio ni kikundi fulani kutaka katiba isisimamiwe. Aliyekuwa CDF akakataa
Matukio haya yanasikitisha lakini tukiyanyamazia yanaleta precedence mbaya.
Waliohusika wapo serikalini na wanaishi kwa kodi zetu mpaka leo. Hii ni hatari.
Kama wazalendo tushauri adhabu inayowafaa hao watu sababu hawatakiwi kuwepo kwenye jamii ya waliostaarabika
Raisi mwenyewe haitambui katiba anasema ni kakijitabu tu, kwanini wenzake wasio itambua awahukum!? Tuache double standardWanaJF,
Yaliyosemwa na retired CDF kuhusu matukio yaliyotokea muda mchache kabla ya Magufuli kufariki miaka 3 iliyopita tumeyasikia.
Baadhi ya matukio ni kikundi fulani kutaka katiba isisimamiwe. Aliyekuwa CDF akakataa
Matukio haya yanasikitisha lakini tukiyanyamazia yanaleta precedence mbaya.
Waliohusika wapo serikalini na wanaishi kwa kodi zetu mpaka leo. Hii ni hatari.
Kama wazalendo tushauri adhabu inayowafaa hao watu sababu hawatakiwi kuwepo kwenye jamii ya waliostaarabika
Fikra mbadala ya kuonyesha nia waziwazi ya kuvunja katiba? Na wenyewe waliapa kwa hiyo hiyo katiba. Hapana aisee lazima wawajibike. Sidhani kama CDF alizungumza tu kwa ajili ya kufurahisha genge. Alitaka wananchi tuchukue hatuaAcha Mambo yako wewe, fikra mbadala ni muhimu! Unataka watu wote wafikirie kama unavyotaka wewe?
Katiba gani unayoizungumzia wewe, hii Nchi suala la Katiba lipo Kinadharia zaidi, Serikali ingekuwa inafuata Katiba CCM wasingekuwepo madarakaniFikra mbadala ya kuonyesha nia waziwazi ya kuvunja katiba? Na wenyewe waliapa kwa hiyo hiyo katiba. Hapana aisee lazima wawajibike. Sidhani kama CDF alizungumza tu kwa ajili ya kufurahisha genge. Alitaka wananchi tuchukue hatua