Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Wapewe tunzo waliona mbali sana na maona yao yamekuwa kweli waliona hatari ya nchi kuwa chini ya raia feki na hatari ya nchi kuwa chini ya kahaba ....wapewe maua yaoWanaJF,
Yaliyosemwa na retired CDF kuhusu matukio yaliyotokea muda mchache kabla ya Magufuli kufariki miaka 3 iliyopita tumeyasikia.
Baadhi ya matukio ni kikundi fulani kutaka katiba isisimamiwe. Aliyekuwa CDF akakataa
Matukio haya yanasikitisha lakini tukiyanyamazia yanaleta precedence mbaya.
Waliohusika wapo serikalini na wanaishi kwa kodi zetu mpaka leo. Hii ni hatari.
Kama wazalendo tushauri adhabu inayowafaa hao watu sababu hawatakiwi kuwepo kwenye jamii ya waliostaarabika