mkuu Kinyogol njoo PM nikupe udhaminiKuna dogo mmoja wa tabata anaitwa kinyogoli kama sikosei, huyu dogo kakosa wadhamini, Ila ni Bondia mzuri Sana.
Mtu angejitokeza kumdhamini hakika hatajutia.
...una defence$#@&?? sanaTanga mnasifika kwa michezo yenu ile ila sio ya ngumi.mwakinyo kama utaendelea na ngumi basi muombe sana Mungu ufikishe hata miaka 45 ukiwa hauna tatizo lolote maana una defence sana kuliko ku attack
CCM's Second Law of "Selection"Kashinda Bila Kupingwa
CCM's First Law of "Selection"Mfilipino alikosea kujaza fomu
CCm's Third Law of "Selection"Wale majaji bila shaka wa CCM.