TOA MAONI YAKO (PICHa)

niliwahi kuambiwa nikabisha sana kuwa wakiwa wamevaa hivi hawaruhusiwi kuvaa kuvuli
 
Kuweka kwenye ilani zao mahakama ya kadhi, oic....kuongeza ulinzi wa majini, kununua uchawi kwa sheikh wao yahaya!?
 
wazee wa ishu yaani shaba wali mweupe hao.
Ukiwasachi hukosi ndizi na pilipili kwenye kanzu
 
:tonguez::hand::A S 13::hand::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Mmmhhhhh hehe hehe hehe hehe hehe hehe he hbe ehehe ehhe e......umbe
 
kufuli unavaa kama kawa bana, why not. mbona kanzu vazi la kawaida tu.
 
Kwa Bwana Yesu Kila Goti Litapigwa,wamwabuduo Mungu wapaswa kumwabudu katika Roho na Kweli.
 
Jf inantia shaka. . inamambo ya kukashifiana kiiman, bora iwekwe wazi kwamba hi i ni kwa ajil ya dini fulani. unajua kama m2 unaingia jf kwa ajili ya knowledge kisha unakuta unakashifiwa iman yako.. inauma sana.
 
Nani kakkashifu iman yako mkuu, sema fasta nimpe ban!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…