Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Hapa najaribu kufikiria wanajadiri nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niliwahi kuambiwa nikabisha sana kuwa wakiwa wamevaa hivi hawaruhusiwi kuvaa kuvuli
ehhh! Sasa zile kengele si zitalia?!!!niliwahi kuambiwa nikabisha sana kuwa wakiwa wamevaa hivi hawaruhusiwi kuvaa kuvuli
Hivi hiyo ni dini gani jamani?!!!.
hehehehehehe...:A S 112:niliwahi kuambiwa nikabisha sana kuwa wakiwa wamevaa hivi hawaruhusiwi kuvaa kuvuli
Kuweka kwenye ilani zao mahakama ya kadhi, oic....kuongeza ulinzi wa majini, kununua uchawi kwa sheikh wao yahaya!?
Nani kakkashifu iman yako mkuu, sema fasta nimpe ban!!Jf inantia shaka. . inamambo ya kukashifiana kiiman, bora iwekwe wazi kwamba hi i ni kwa ajil ya dini fulani. unajua kama m2 unaingia jf kwa ajili ya knowledge kisha unakuta unakashifiwa iman yako.. inauma sana.