Toa riziki kwa wengine ili kuimarisha uhusiano mzuri kiroho

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
4,951
Reaction score
19,766
Hello jamiiforums

Leo tuangalie watanzania wenye vipato fulani si vikubwa ila kuna vitu viko ndani ya uwezo wao

Sadaka siyo lazima utoe kwenye nyumba za ibada,hapana!

Fanya haya ili kukuza biashara na kazi zako hakika kama unaamini katika Mungu na roho wa kweli utayaona mafanikio na utabarikiwa

1.Fuga wanyama hapo kwako.

Kwenye maisha yako ikiwa kuna kiumbe chochote kinakutegemea ,yaani mbwa au mbuzi wako anajua kabisa wewe ndiye unamlisha,au Una kuku wako watano na wanajua wewe ndiye kila kitu kwao,hii ni hatua nzuri kwani itapanua wigo wa riziki zako

2.Toa riziki kwa wengine.

Mara nyingi nimekutana na washikaji zangu wakiwa wanatengeneza au kurekebisha vitu ambavyo hawana utaalamu navyo,yaani unakuta mtu kafungua TV,pasi,feni,anahangaika kutengeneza wakati kama angepeleka Kwa fundi pengine kingependeza zaidi Kwa gharama za kawaida.

3.Ajiri watu( kulipa Mshahara)

Kitendo cha mtu kukutegemea wewe ,yaani familia yake yote inaamini Baba au mama anafanya kazi Kwa mtu fulani, automatically unaombewa mazuri ,kiroho lazima mambo yako yanyooke.

4.Mpe mwanamke pesa bila kuomba penzi.

Kuna watu hata iweje hawezi kumsaidia mwanamke asiye ndugu yake hivihivi ,yaani kijana mwenye miaka 25 yupo radhi atembee na mama mwenye miaka 50 lakini siyo ampe pesa bure.hii siyo tabia nzuri

Toa msaada bila kuhitaji chochote muhusika ni lazima atakuombea Kwa Mungu kidhati na riziki yako itazidi. kuchanua.

5.Toa sapoti Kwa watu wa hali ya chini.

Kuna watu ni rahisi kuspend pesa nyingi kwenye sehemu za starehe yaani million inakata siku moja.
Lakini siku akikutanq na mama mwenye beseni la matunda kichwani kwenye jua kali atanunua ndizi za 1000 kisha atatoa noti ya shilingi 10000 huku akimuamrisha mama wa watu ampe chenji haraka ,ikitokea imepungua 500 tu atafanya mpango mpaka aipate.akitoka hapo atatuma laki mbili Kwa mwanamke na huyu mwanamke hatakuja .

6.Alika watu nyumbani kwako

Ugeni ni baraka,alika watu siku moja moja iwe ni chakula cha mchana ama usiku ,just imagine watu zaidi ya kumi wapo ndani kwako mnakula ni raha iliyoje,lakini kuna watu hawapendi wageni yaani yupo radhi mkale hotelini au restaurant lakini siyo mtu aingie kwake.

7.Toa msaada Kwa majirani na wengine ikiwa unaafford

Yes, unamiliki usafiri lakini kumkimbiza mgonjwa umbali wa kilomita 10 tu unataka watu wachangie mafuta ilihali unatambua familia husika hawana uwezo huo.

8.Usimuuzie mtu maji.

Kwanza ni maajabu ,hebu fikiria ndoo ya 20 litres ni shilingi 50 au 100 sasa utauza ngapi Kwa siku ili upate pesa uliyoikusudia,
Kama Mungu kakujalia umejenga nyumba umevuta maji au umechimba kisima ,muda wote tanki limejaa basi wewe upo level fulani hupaswi kufanya mambo yasiyo ya maana.

9.Usifungue biashara ya kukopesha pesa.

Huu ni mtazamo wangu kama unafanya hii biashara endelea ,kama ulikuwa na mpango basi badilisha wazo ,hebu fikiria.mtu anapigwa picha ,anajaza form ya mkopo anakuja na shahidi kwaajili ya mkopo wa million moja au chini ya hapo.(Umasikini)

Kimsingi hapa lazima ugombane na watu au uwe mtu wa mahakamani na kiroho haijakaa vizuri.

10.Wape vijana riziki

Starehe zipo tu,mademu wapo tu tufanye Una bajeti ya milioni mbili hivi hii ni kwaajili ya bata tu la weekend na Wana. Siku nyingine fanya hivi
Nunua hata pambu za kuoshea magari fungua car wash uchwara watoto wahangaike,

Kuna mashine za kuchomelea pia unaweza kununua grinders ,arc ukawapa madogo wajitafutie ugali .

Au ukakusanya wasichana watano ukawapa cherehani mbili wahangaike nazi kwanini usibarikiwe?

Nyuzi zangu haziwahusu wenye vipato vikubwa bali zinawahusu majamaa fulani ambao vipato vyao si vikubwa wala si vidogo ila uwezo wa kukamata 5 milioni kwenye mishe zao wanao ila hujiona hawana kitu na hawastahili kutoa pesa Kwa yeyote.ila kwenye bar,clubs wanafanya kufuru unaweza sema jamaa anamiliki migodi kumbe ni mtu anayetafuta sifa kwa mademu aonekane anazo
 
Nimesoma Uzi sijaumaliza lkn ni mzuri sana japo Mimi siamini katika mungu lkn hayo ni safi kabisa natamani niwe nayafanya hata km sio yote
 
Kadri unavyozidi kutoa Ndivyo unavyozidi Kuongeza Kipato...

Tunashukuru Kwa Ushauri Wako Bora Kabisa MOLA AKUBARIKI KWA MANENO YAKO YENYE KUJENGA KWA WENYE KUELEWA NA KUFANYIA KAZI...🙏

NA WEWE UNAYESOMA UJUMBE HUU MWENYEZI MUNGU AKUFUNGULIE RIKIZI ILI UWE MIONGONI MWA WATOAJI NA SIO WAPOKEAJI...
 
Ahsante Sana 🙏
 
4: hata usipomuomba atajilainisha akupe wao uamini kukaa njia panda ndio zawadi kuu awezayo mpa mtu
 
Hello jamiiforums

Leo tuangalie watanzania wenye vipato fulani si vikubwa ila kuna vitu viko ndani ya uwezo wao

Sadaka siyo lazima utoe kwenye nyumba za ibada,hapana!

Fanya haya ili kukuza biashara na kazi zako hakika kama unaamini katika Mungu na roho wa kweli utayaona mafanikio na utabarikiwa

1.Fuga wanyama hapo kwako.

Kwenye maisha yako ikiwa kuna kiumbe chochote kinakutegemea ,yaani mbwa au mbuzi wako anajua kabisa wewe ndiye unamlisha,au Una kuku wako watano na wanajua wewe ndiye kila kitu kwao,hii ni hatua nzuri kwani itapanua wigo wa riziki zako

2.Toa riziki kwa wengine.

Mara nyingi nimekutana na washikaji zangu wakiwa wanatengeneza au kurekebisha vitu ambavyo hawana utaalamu navyo,yaani unakuta mtu kafungua TV,pasi,feni,anahangaika kutengeneza wakati kama angepeleka Kwa fundi pengine kingependeza zaidi Kwa gharama za kawaida.

3.Ajiri watu( kulipa Mshahara)

Kitendo cha mtu kukutegemea wewe ,yaani familia yake yote inaamini Baba au mama anafanya kazi Kwa mtu fulani, automatically unaombewa mazuri ,kiroho lazima mambo yako yanyooke.

4.Mpe mwanamke pesa bila kuomba penzi.

Kuna watu hata iweje hawezi kumsaidia mwanamke asiye ndugu yake hivihivi ,yaani kijana mwenye miaka 25 yupo radhi atembee na mama mwenye miaka 50 lakini siyo ampe pesa bure.hii siyo tabia nzuri

Toa msaada bila kuhitaji chochote muhusika ni lazima atakuombea Kwa Mungu kidhati na riziki yako itazidi. kuchanua.

5.Toa sapoti Kwa watu wa hali ya chini.

Kuna watu ni rahisi kuspend pesa nyingi kwenye sehemu za starehe yaani million inakata siku moja.
Lakini siku akikutanq na mama mwenye beseni la matunda kichwani kwenye jua kali atanunua ndizi za 1000 kisha atatoa noti ya shilingi 10000 huku akimuamrisha mama wa watu ampe chenji haraka ,ikitokea imepungua 500 tu atafanya mpango mpaka aipate.akitoka hapo atatuma laki mbili Kwa mwanamke na huyu mwanamke hatakuja .

6.Alika watu nyumbani kwako

Ugeni ni baraka,alika watu siku moja moja iwe ni chakula cha mchana ama usiku ,just imagine watu zaidi ya kumi wapo ndani kwako mnakula ni raha iliyoje,lakini kuna watu hawapendi wageni yaani yupo radhi mkale hotelini au restaurant lakini siyo mtu aingie kwake.

7.Toa msaada Kwa majirani na wengine ikiwa unaafford

Yes, unamiliki usafiri lakini kumkimbiza mgonjwa umbali wa kilomita 10 tu unataka watu wachangie mafuta ilihali unatambua familia husika hawana uwezo huo.

8.Usimuuzie mtu maji.

Kwanza ni maajabu ,hebu fikiria ndoo ya 20 litres ni shilingi 50 au 100 sasa utauza ngapi Kwa siku ili upate pesa uliyoikusudia,
Kama Mungu kakujalia umejenga nyumba umevuta maji au umechimba kisima ,muda wote tanki limejaa basi wewe upo level fulani hupaswi kufanya mambo yasiyo ya maana.

9.Usifungue biashara ya kukopesha pesa.

Huu ni mtazamo wangu kama unafanya hii biashara endelea ,kama ulikuwa na mpango basi badilisha wazo ,hebu fikiria.mtu anapigwa picha ,anajaza form ya mkopo anakuja na shahidi kwaajili ya mkopo wa million moja au chini ya hapo.(Umasikini)

Kimsingi hapa lazima ugombane na watu au uwe mtu wa mahakamani na kiroho haijakaa vizuri.

10.Wape vijana riziki

Starehe zipo tu,mademu wapo tu tufanye Una bajeti ya milioni mbili hivi hii ni kwaajili ya bata tu la weekend na Wana. Siku nyingine fanya hivi
Nunua hata pambu za kuoshea magari fungua car wash uchwara watoto wahangaike,

Kuna mashine za kuchomelea pia unaweza kununua grinders ,arc ukawapa madogo wajitafutie ugali .

Au ukakusanya wasichana watano ukawapa cherehani mbili wahangaike nazi kwanini usibarikiwe?

Nyuzi zangu haziwahusu wenye vipato vikubwa bali zinawahusu majamaa fulani ambao vipato vyao si vikubwa wala si vidogo ila uwezo wa kukamata 5 milioni kwenye mishe zao wanao ila hujiona hawana kitu na hawastahili kutoa pesa Kwa yeyote.ila kwenye bar,clubs wanafanya kufuru unaweza sema jamaa anamiliki migodi kumbe ni mtu anayetafuta sifa kwa mademu aonekane anazo
Mengine yote ni sahihi....ila namba nane kugawa maji bure...mkuu bill za dawasco unazijua unazisikia
 
Back
Top Bottom