Today Israel Celebrates Six Day War Anniversary

Today Israel Celebrates Six Day War Anniversary

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
9,971
Reaction score
13,608
Today marks the beginning of the Six-Day War in 1967.

Israel, who was overwhelmingly outnumbered in men, tanks, and planes - defeated an Arab coalition of 13 countries. We honor the ones who made the ultimate sacrifice for the sake of Israel's survival. #Israel

Via JOFF
FB_IMG_1654517779567.jpg
 
Mbona Iran simuoni hapo ambaye ni hasimu mkubwa wa Israel kwa Sasa? Au ni nini chanzo cha uhasimu wao ikiwa Iran so miongoni mwa nchi zilizo shiriki kwnye 6 days war!!!?
 
Mbona Iran simuoni hapo ambaye ni hasimu mkubwa wa Israel kwa Sasa? Au ni nini chanzo cha uhasimu wao ikiwa Iran so miongoni mwa nchi zilizo shiriki kwnye 6 days war!!!?
Iran hapatani namataifa mengi ya kiarabu hata sasa, ye hujiona ni Superior MUAJEMI, sio mwaarabu
 
Muwe mnakumbuka na vita ya juzi 2006[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16], au mnajifanyaga wasahaulifu [emoji1787][emoji1787]
 
Kuna muajemi mmoja nimetoka kuongea nae asubui ya leo, anadai hali ni mbaya sana Iran right now, vitu vimepanda bei mara tatu, ila anasema kama ni kuungana na American Puppet kama Saudi Arabia ndo unafuu wa Maisha bora wafe njaa tu
 
mwarabu anatishaga tu kwa ukatili, ila hanaga lolote kwenye mapambano. angalia hata saudia, amepewa silaha kama zote na USA lakini waasi wa Huth Yemen wamemsumbua balaa. Mungu ibariki Israel.
 
Back
Top Bottom