Today's Kenya bigger news: President Magufuli quotes Saut Sol

Tafuta hizi redio stations Kameme, inooro gukena, na coro utasikia nyimbo za kumtetea "mutu yetu siyo mwisi" [emoji3][emoji3][emoji3]
Ala! Yani Hadi hizi stations zinasikika Tz???🤔🤔 Kweli Kenya ni kiongozi hapa Afrika...Hebu nitajie stations zenu tajika nje ya Tz Kama zipo😪😪😪
 
Mbona hakunukuu wimbo wa Ngololoo, au tetema tetema? Eti Sauti ya solo, dah mzee ametisha. 😀
Kabla ya kutaja Saut Solo alikua ametoka kucheza na Harmonize wimbo wa (Magufuli)na kumshika mkono. Hao Sauti Sol hata kuwajua, hawajui vizuri. Mimi ndio kwanza ninawasikia toka kwa Magufuli. Please tell me more about Sauti Sol. Wamshukuru sana Magufuli kwa kuwafanyia" free marketing"
 
Azam Nilifikiri ni unga kumbe ni station pia? Na ipo Kenya??
Bahati mbaya Kibera hakuna TV, ungeweza kugundua kwamba, Ligi zote za mpira wa miguu hapa East Africa huonyeshwa na Azam media house, hakuna media house yoyote hapa EA inaweza jaribu kujilinganisha na AZAM.
 
Nionyeshe chombo chochote cha habari Tanzania kinachoandika kuhusu utendaji wa Uhuru Kenyatta kama jinsi ambavyo media za Kenya zinavyomfuatilia Magufuli. We are the "core" of this zone.
Boss, umesahau shughuli za Tz zilivosimama mlipokuwa mshabikia siasa za Jubilee na NASA? Hadi mkampa Rais Uhuru taji la baba wa demokrasia? Meanwhile wakenya hawajui majina ya mawaziri, vyama vya upinzanii Tz, wala jina la makamu wa rais wa Tz.
 
Hahahaha, Nimekuuliza onyesha chombo cha habari chochote Tanzania kinachofuatia na kuripoti utendaji Kazi wa Uhuru Kenyatta, kama jinsi vyombo vyenu vinavyomfuatilia Magufuli kila siku.
 
Ala! Yani Hadi hizi stations zinasikika Tz???[emoji848][emoji848] Kweli Kenya ni kiongozi hapa Afrika...Hebu nitajie stations zenu tajika nje ya Tz Kama zipo[emoji25][emoji25][emoji25]
Tatizo lako wewe unahisi wote humu ni kama wewe, hujawahi toka Dandora! Sisi wengine hapo kenya ni kama chooni tunaingia tutakavyo.
 
Mbona sioni za kenya hapa [emoji23][emoji23][emoji23]

Ala! Yani Hadi hizi stations zinasikika Tz???[emoji848][emoji848] Kweli Kenya ni kiongozi hapa Afrika...Hebu nitajie stations zenu tajika nje ya Tz Kama zipo[emoji25][emoji25][emoji25]
 
Hahahaha, Nimekuuliza onyesha chombo cha habari chochote Tanzania kinachofuatia na kuripoti utendaji Kazi wa Uhuru Kenyatta, kama jinsi vyombo vyenu vinavyomfuatilia Magufuli kila siku.
Sasa ni nani amefatiliwa, Sauti Sol ni wakenya. Jiwe si ndio anawafagilia? Rais wenu huwa anafatiliwa akitoa kauli za kutamausha, kama za kuwaamuru mzaane na kutowafunza 'wazazi'.
 
Hii umeokota wapi, ila iwe fundisho kwa wasanii wa Kibongo, nyimbo zao nyingi hazina chochote cha maana zaidi ya tetema na nyegese, aina ya nyimbo ambazo hauwezi ukaskliza mbele ya watoto.
NI vyema kujua rais wa Tanzania huvutiwa na nyimbo za Wakenya.
 
Ona huyu,
Magufuli mara kibao anaimba vipande vipande za nyimbo za bongo fleva.
 
Ona huyu,
Magufuli mara kibao anaimba vipande vipande za nyimbo za bongo fleva.

Weka humu walau hata video moja akitumia maneno ya wimbo wowote wa wasanii wenu kwenye hotuba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…