Today's Kenya bigger news: President Magufuli quotes Saut Sol

Today's Kenya bigger news: President Magufuli quotes Saut Sol

Rutto, Raila na Uhuru Kenyatta, a.k.a mvuta bhangi na mtafuna mirungi.
😂😂😂😂 Nilijua huna lolote Azam nimeisikia na wewe. Wambie wafanye bidii ya marketing angalau wajulikane Kama kina NTV, K24,Citizen TV, Inooro TV, Kameme TV na zingine nyingi za Kenya.
 
Sinaga tatizo lolote na majirani isipokuwa tabia fulani ya kabila fulani.
 
Kenya tuna stesheni zaidi ya 300 wakati nyinyi huko hazifiki hata 50!

Alafu si unajua kama kawa sisi tunajua kutengeneza hela!

“Prior to 2016, Kenya’s largest advertising market was radio. Considering its small economy, Kenya has the largest radio advertising market in the Middle East and Africa region and the 14th-largest in the world. By 2021, it will generate more radio advertising revenue than Italy, a country with a bigger population and an economy more than 20 times larger,”
Hazifiki 50? Zinafika 500
 
Mbona hakunukuu wimbo wa Ngololoo, au tetema tetema? Eti Sauti ya solo, dah mzee ametisha. 😀
Aliye fanya vizuri mpe haki yake na ndivyo alivyofanya jpm ,lakini ingekuwa mkenya asingekuwa na ushujaa wa kumtaja Mtz hazarani hivyo, angechomeka u Kenya ukenya 😀
 
Mbona sioni za kenya hapa [emoji23][emoji23][emoji23]

Kenya tunatambua internet sio archaic modes of communication.
1.Ethiopia - Radio station probably ni moja baada ya miaka mingi ya dictatorship.
2. Egypt - Nchi ya watu waongeao lugha moja na wenye tamaduni moja.
3. Tanzania - Jina clouds lenyewe linavutia waswahili. Niko sahihi smartphone penetration in Tz is very low especially huko mikoani.
4. Nigeria - population ya million 200 afu ulinganishe na wanaosikiza redio utaona Kuna kuwa ni asilimia ndogo Sana.
5. Kenya Kuna Uhuru wa wanahabari Yani kila Kona Kuna station na zinazidi kuibika zingine afu pia kizazi kipya hawatambui redio...tuliwachia wazee na watzee
 
Evidence please, usitaje hizo za kikabila, kwetu haturuhusu ujinga huo.
IMG_20190917_221225.png
 
Nionyeshe chombo chochote cha habari Tanzania kinachoandika kuhusu utendaji wa Uhuru Kenyatta kama jinsi ambavyo media za Kenya zinavyomfuatilia Magufuli. We are the "core" of this zone.
Core? Dont flatter yourself mate
 
Sasa umetype nini hapa, mbona pumba tu na kupoteza muda [emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia hii list hapa ina radio zaidi ya 100 tena naona hazipo zote kwenye hii list https://www.tcra.go.tz/index.php/licensing/licensed-operators/2-tcra/46-radio

Usisahau EA radio inashika hadi Kenya.
Kenya tunatambua internet sio archaic modes of communication.
1.Ethiopia - Radio station probably ni moja baada ya miaka mingi ya dictatorship.
2. Egypt - Nchi ya watu waongeao lugha moja na wenye tamaduni moja.
3. Tanzania - Jina clouds lenyewe linavutia waswahili. Niko sahihi smartphone penetration in Tz is very low especially huko mikoani.
4. Nigeria - population ya million 200 afu ulinganishe na wanaosikiza redio utaona Kuna kuwa ni asilimia ndogo Sana.
5. Kenya Kuna Uhuru wa wanahabari Yani kila Kona Kuna station na zinazidi kuibika zingine afu pia kizazi kipya hawatambui redio...tuliwachia wazee na watzee
 
SA haipo.
Labda wasubiri pamoja na nyie top ten ikitoka [emoji23][emoji23][emoji23]
But Kenya ni hard kupata a station with those many viewers. Utapata people in urban areas wanaskiza English stations kama Kiss na Classic, people in suburbs watakuwa wanaskiza more of capital fm, watu in the villages watakuwa wanaskiza their local station ama swahili stations kama citizen and milele
 
Nadhani kuwepo kwa radio station nyingi za kikabila ndio inachangia radio za kenya kukosa wasikilizaji wengi maana kila mtu anasikiliza radio ya kabila lake[emoji16][emoji16][emoji16]
Tanzania pia kuna radio station za English,
Dar sasa hivi frequency za FM radio zimejaa hawatoi tena, huwezi pata frequency kama unataka kuanzisha radio labda ununue radio fulani na wafanyakazi wake.

Back
Top Bottom