joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Rutto, Raila na Uhuru Kenyatta, a.k.a mvuta bhangi na mtafuna mirungi.Azam kumbe ni station? Wanahabari wake mashuhuri Ni kina Nani?
😂😂😂😂 Nilijua huna lolote Azam nimeisikia na wewe. Wambie wafanye bidii ya marketing angalau wajulikane Kama kina NTV, K24,Citizen TV, Inooro TV, Kameme TV na zingine nyingi za Kenya.Rutto, Raila na Uhuru Kenyatta, a.k.a mvuta bhangi na mtafuna mirungi.
Hazifiki 50? Zinafika 500Kenya tuna stesheni zaidi ya 300 wakati nyinyi huko hazifiki hata 50!
Alafu si unajua kama kawa sisi tunajua kutengeneza hela!
“Prior to 2016, Kenya’s largest advertising market was radio. Considering its small economy, Kenya has the largest radio advertising market in the Middle East and Africa region and the 14th-largest in the world. By 2021, it will generate more radio advertising revenue than Italy, a country with a bigger population and an economy more than 20 times larger,”
Kenya’s radio advert spend largest in Africa
Radio remains the key mode of advertising in Kenya, despite Internet access being the fastest growth industry in the Kenyan market.www.businessdailyafrica.com
Aliye fanya vizuri mpe haki yake na ndivyo alivyofanya jpm ,lakini ingekuwa mkenya asingekuwa na ushujaa wa kumtaja Mtz hazarani hivyo, angechomeka u Kenya ukenya 😀Mbona hakunukuu wimbo wa Ngololoo, au tetema tetema? Eti Sauti ya solo, dah mzee ametisha. 😀
".. over 140 radio stations in the country"Tanzanian 125 radio stations
Kenya 118 radio stations
Kenya tunatambua internet sio archaic modes of communication.Mbona sioni za kenya hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Tumia ya NyerereSisi tunataka fuvu la kichwa tu tutengenezee hirizi
Kwenu Hakuna Media[emoji23][emoji23][emoji23] Hebu nitajie media houses tajika zenu zinazo peperusha hapa Kenya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Evidence please, usitaje hizo za kikabila, kwetu haturuhusu ujinga huo.".. over 140 radio stations in the country"
Evidence please, usitaje hizo za kikabila, kwetu haturuhusu ujinga huo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila Magufuli ni artists magnet
Cameroon na Ghana wanamuelewa kichizi
Core? Dont flatter yourself mateNionyeshe chombo chochote cha habari Tanzania kinachoandika kuhusu utendaji wa Uhuru Kenyatta kama jinsi ambavyo media za Kenya zinavyomfuatilia Magufuli. We are the "core" of this zone.
Ethiopia has very few radio stations. Nigeria na Egypt ni population. Kenyan radio is very diverse. Kwa hio list sioni SAMbona sioni za kenya hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya tunatambua internet sio archaic modes of communication.
1.Ethiopia - Radio station probably ni moja baada ya miaka mingi ya dictatorship.
2. Egypt - Nchi ya watu waongeao lugha moja na wenye tamaduni moja.
3. Tanzania - Jina clouds lenyewe linavutia waswahili. Niko sahihi smartphone penetration in Tz is very low especially huko mikoani.
4. Nigeria - population ya million 200 afu ulinganishe na wanaosikiza redio utaona Kuna kuwa ni asilimia ndogo Sana.
5. Kenya Kuna Uhuru wa wanahabari Yani kila Kona Kuna station na zinazidi kuibika zingine afu pia kizazi kipya hawatambui redio...tuliwachia wazee na watzee
I doubt it still airs in Kenya. Zikiwa na EATV. When I was a kid I used to listen to that radio on Saturdays from 2pm to 4pm, walikuwa na awesome Rock show.east Africa radio
Ethiopia has very few radio stations. Nigeria na Egypt ni population. Kenyan radio is very diverse. Kwa hio list sioni SA
But Kenya ni hard kupata a station with those many viewers. Utapata people in urban areas wanaskiza English stations kama Kiss na Classic, people in suburbs watakuwa wanaskiza more of capital fm, watu in the villages watakuwa wanaskiza their local station ama swahili stations kama citizen and mileleSA haipo.
Labda wasubiri pamoja na nyie top ten ikitoka [emoji23][emoji23][emoji23]
But Kenya ni hard kupata a station with those many viewers. Utapata people in urban areas wanaskiza English stations kama Kiss na Classic, people in suburbs watakuwa wanaskiza more of capital fm, watu in the villages watakuwa wanaskiza their local station ama swahili stations kama citizen and milele