Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 11,394
- 21,391
Juzi kuna mtu kaenda benki kuchungulia salio kwenye account yake ni fixed deposit akaambiwa et salio ni sifuri!!!
Kidogo azimie kwa Teller sababu ana zaidi ya 20M humo.
Kujieleza et wakajibaraguza account itakuwa imelala hivyo ai-activate kwa kuleta NIDA na porojo kibao.
Nimemshauri abebe hela yote siku akifanikiwa kuirudisha.
Inakuwaje dormant wakati mnatakiwa kuwa mnaweka gawio humo hata kama kweli mtu ana miezi 11 hajaweka wala kutoa.