Kuanzia tarehe 12 ndo nitabadilisha pesaDola haibadiliki thamani, hadi marekani ianguke.
Kabla ya tarehe 29/10 ma CCM wengi walikuwa wanatuambia maandamano hayatakuwepo.Yani ukiskiza mambo ya mitandaoni.
Ukaangalia na BBC Unaweza dhani tuko Sudan😅😅😅kumbe wala maisha mitaani yanaendelea wengine tunazurula mpaka saizi kusaka ridhiki na hamna kilichobasilika...
aah aisee.. ogopa sana mtandao
Economic sabotage kwa washirika wake wotekUmtoa ni ngumu,sema 9d kinachofanyika nikumchafulia tu uongoz wake ila sio kumtoa
Kesho mapema sana ilikua ishaongezeka imefika laki na 90Evelyn Salt ile afu hamsini yako toa mapema🤣🤣🤣
Aaah kumbe unamiliki utajiri wa kijiji kabisa🙆♂️🙆♂️🙆♂️Kesho mapema sana ilikua ishaongezeka imefika laki na 90
Endelea kusubiriYani ukiskiza mambo ya mitandaoni.
Ukaangalia na BBC Unaweza dhani tuko Sudan😅😅😅kumbe wala maisha mitaani yanaendelea wengine tunazurula mpaka saizi kusaka ridhiki na hamna kilichobasilika...
aah aisee.. ogopa sana mtandao
Ni sawa na sisi tunasubiri vurugu mpya tukae mdani tushachimba mahandaki saiviKabla ya tarehe 29/10 ma CCM wengi walikuwa wanatuambia maandamano hayatakuwepo.
Mpaka saa 3 asubuhi ya siku usika kulikuwa shwari machawa mkawa mnatamba huku na huko kwamba hakuna wa kuandamana nchi imetulia.
Ilipofika saa 5 tu kilichotokea mpaka leo hakuna anayeamini.
Sasa wewe ona kumetulia tu.
Lakini wanapika mambo chini kwa chini.
Yule ni Mama yetu sote, tumuulize kwa pamojamuulize mamako chura kiziwi
Hizo benki kuna watu wanapesa nyingi sana wameweka humo. Siku wakizitoa utaelewa tuHamna uchumi unaoanguka tusidanganyane yaan dunia ya sasa utoe hela bank uwwke nyumban au upeleke wapi ili iweje?
We shindwa!!Yule ni Mama yetu sote, tumuulize kwa pamoja
Umeweka interms of ksh co?Kitambo nisha sogeza vichenchi baadhi ile equity account ya Kenya.
Yap, coz nili ifungulia kule. Niki visit kcb itaongezeka tena.Umeweka interms of ksh co?
Bilioni 100 unaweza ukaiweka wapi
Hivi kuna tofauti ya account ya Tz & kenya kwa Bank ya equity?Kitambo nisha sogeza vichenchi baadhi ile equity account ya Kenya.