Toeni Hela zenu kwenye Mabenki na mpesa hifadhini hela zenu wenyewe, anguko la uchumi limeingia

Toeni Hela zenu kwenye Mabenki na mpesa hifadhini hela zenu wenyewe, anguko la uchumi limeingia

Hamna uchumi unaoanguka tusidanganyane yaan dunia ya sasa utoe hela bank uwwke nyumban au upeleke wapi ili iweje?
Labda kama hufahamu kuna kitu kinaitwa bank runs...

Nchi kama Zimbabwe walipitia situation kama yetu watu wenye akili wakaanza kutumia hela zao kununua dollar, wale waliokaza kichwa walijikuta wana makaratasi yasiyo na thamani
 
Sasa anguko likija linazuiwaje na kuweka pesa ndani? WEWE MBUMBUMBU KWELI
Kama una vihela benki katoe zote, kama una hela mpesa toa zote kuwa na hela yako cash soon anguko linakuja, msije sema hamkujua

Taarifa ndio hiyo kuwa na hela yako cash utachimbia ndani au kuzificha kwenye madumu fanya hivyo anguko la kiuchumi limeingia ndani ya nchi yetu
Sasa anguko likija linazuiwaje na kuweka pesa ndani? WEWE MBUMBUMBU KWELI
 
Back
Top Bottom