Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Dogo Semenya ulipoteaga wapi?Sawa.
Dogo Semenya ulipoteaga wapi?Sawa.
Hapo kwenye skull mbavu zangu😅🤣😂umesikia muuwaji wa ccm alivyo kua akiongea na wauwaji wenzake alicho kiongea ? au umejaza kamasi kwenye Skull ?
Wewe tulia huo msiba hautakuwq upinzani tu mpk mbogamboga watatoa mlio tualafu wakaza vichwa bado hawaelewi hiyo ni alama ya hatari kwa wenye pesa zao benk na sehemu zingine toeni hela zenu mue nazo au muweke nchi zingine
Hizo pesa zako nyingi zihamishie kwenye Binance kisha uhold bitcoin au ETH, utakuwa salama sana kuliko kuziacha huko CRDB ambapo muda wowote zinayeyuka kama barafu bila ya wewe kuwa na taarifa.Wengine tuna pesa nyingi hazitoshi mfukoni au kwenye wallet
Sio pesa zenu za kuweka mfukoni wa shati
Hatoki hadi aondolewekumtoa ni kuingia barabarani tu kwa wingi wetu hana jipya hapo alipo
Mkuu watu wakitoa pesa zao kwa wingi kutoka benki kunaweza kusababisha kuyumba kwa uchumi wa nchi. Hii hutokea kwa sababu benki zinategemea amana za wateja kufadhili mikopo na mzunguko wa fedha katika uchumi. Mambo haya yaweza tokeaHamna uchumi unaoanguka tusidanganyane yaan dunia ya sasa utoe hela bank uwwke nyumban au upeleke wapi ili iweje?
lakini ATM zilikuwa zinafanya kazi vizuri tuHaina mantiki kutoa fedha ukahifadhi ndani then uibiwe ,sijaona logic labda tuhifadhi kwa ajili ya D9 tukipigwa curfew tuwe na akiba ndani ya kuagiza boda akukuletee mazagazaga na kwa ajili wakizima internet ATMs hazifanyi kazi(labda kwa hapo)
Ukienda ATM walikuwa wanakuua wanachukua pesalakini ATM zilikuwa zinafanya kazi vizuri tu
Huyo Lucas mishanga sio elfu sabini tu.Umenikumbusha ngoja nikatoe Elfu Sabini yangu isije ikakwapuliwa na MAJIZI akina Lucas Mwashambwa