Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Isije ikaingizwa kwenye namba za duli wa samuyaEvelyn Salt ile afu hamsini yako toa mapema🤣🤣🤣
Isije ikaingizwa kwenye namba za duli wa samuyaEvelyn Salt ile afu hamsini yako toa mapema🤣🤣🤣
Mwambie Trump tunamuunga mkono kwa uamuzi wowote atakaochukua dhidi ya hii serikali haramu inayonuka damu.Hadi nimeogopa Kwa taarifa nzito tulivyojadiliwa la aljazeera kuwa Trump anapanga njia za kutuazibu vikali ili iwe fundisho Kwa vijike dikteta Kwa sababu ya muuaji kutuulia ndugu zetu.Trump bora umchukue muuaji peke yake pamoja na watu wake wa karibu
Unadhani hela za kampeni wanatoaga wapi ni hizi hizi akiba zetuIsije ikaingizwa kwenye namba za duli wa samuya
Exactly 💯 mkuuUnadhani hela za kampeni wanatoaga wapi ni hizi hizi akiba zetu
Father jamaa ana BalaaHabil and Kabil
lakini ATM zilikuwa zinafanya kazi vizuri tu
Halafu kuna mimi akaunti mpaka inajiuliza kama niko serious🤣🤣Isije ikaingizwa kwenye namba za duli wa samuya
😀😃😃😃Halafu kuna mimi akaunti mpaka inajiuliza kama niko serious🤣🤣
Knowledge murua kabisa. Hapo chini ungemalizia kwa kuwaambia sasa watu wakishatoa wafanye nini ili wasi loose moja kwa moja? Bitcoin au Dollar?Mkuu watu wakitoa pesa zao kwa wingi kutoka benki kunaweza kusababisha kuyumba kwa uchumi wa nchi. Hii hutokea kwa sababu benki zinategemea amana za wateja kufadhili mikopo na mzunguko wa fedha katika uchumi. Mambo haya yaweza tokea
1. Kupungua kwa Ugavi wa Fedha (Money Supply)
- Benki hutumia amana za wateja kutoa mikopo kwa watu binafsi na biashara.
- Watu wakitoa pesa kwa wingi, benki hupungukiwa na fedha za kutoa mikopo.
- Hii husababisha kupungua kwa uwekezaji na matumizi, jambo linalodhoofisha ukuaji wa uchumi.
2. Hatari ya “Bank Run” (Mbio za Kuchukua Pesa)
- Ikiwa watu wengi kwa wakati mmoja wataingiwa na hofu na kuanza kutoa pesa zao, benki zinaweza kushindwa kuwalipa wote kwa wakati.
- Hali hii hujulikana kama bank run, na inaweza kusababisha kuporomoka kwa taasisi za kifedha.
3. Kushuka kwa Imani ya Soko
- Wakati watu wanatoa pesa zao kwa wingi, huashiria ukosefu wa imani kwa mfumo wa kifedha.
- Hii huathiri masoko ya mitaji, thamani ya sarafu, na hata uwekezaji wa kigeni.
4. Kuongezeka kwa Mzunguko wa Pesa Taslimu (Cash Economy)
- Pesa nyingi zikiwa nje ya mfumo rasmi wa benki, huongeza uchumi usio rasmi.
- Hali hii hupunguza mapato ya serikali kupitia kodi na kufanya sera za kifedha kuwa ngumu kutekeleza.
5. Mfumuko wa Bei au Kudorora kwa Uchumi
- Ikiwa pesa nyingi ziko mikononi mwa watu na si kwenye benki, matumizi ya pesa taslimu huongezeka bila udhibiti.
- Hii inaweza kusababisha mfumuko wa bei (inflation) au, kinyume chake, kudorora kwa uchumi (deflation) ikiwa watu wanahifadhi pesa badala ya kutumia.
Katoe fedha zako benki ,Samia amesema mabeberu yameminya ,anapumlia milija
Nunua Dola kutunza fedha zako..Knowledge murua kabisa. Hapo chini ungemalizia kwa kuwaambia sasa watu wakishatoa wafanye nini ili wasi loose moja kwa moja? Bitcoin au Dollar?
Anachojaribu kusema mtoa mada ni kill kilio cha Leo cha Rais kuwa nchi imepata doa kimataifa hivo tujuandae kukusanya mapato maana wahisani itakuwa ngumu kutoa hela kwa Yale yaliyotokea hapa karibuni. Kwa msingi huu ni kweli tutapata shida ya kiuchumi soon.Hizi habari zenu zakukurupuka sijui mnazitoa wapi?😁😁😁
Dola unaweka ndani?Nunua Dola kutunza fedha zako..
Pia kununua Dola kwa wingi kutasaidia kuifanya Serikali ikose fedha za kigeni
Kwahiyo una billion 100?Bilioni 100 unaweza ukaiweka wapi
Angenunua usdt ingekuwa vizuri zaidi!Hizo pesa zako nyingi zihamishie kwenye Binance kisha uhold bitcoin au ETH, utakuwa salama sana kuliko kuziacha huko CRDB ambapo muda wowote zinayeyuka kama barafu bila ya wewe kuwa na taarifa.