Tofali za kuchoma kwa wakazi wa Morogoro

Tofali za kuchoma kwa wakazi wa Morogoro

Nauza tofali za kuchoma bei tsh.100 kwa tofali, napatikana kijiji cha Kauzeni Morogoro Mjini,karibuni
Nikitaka uniletee mpaka Dar utanifanyia kiasi gani??
 
Hapana gharama za usafiri zipo juu yako, hiyo ni bei tofali tu. Karibu
Fanya utafiti wa kusafirisha to dar then utuambie plus usafiri itakuwa sh ngapi. Mm nahiyaji karibia tofali elfu ishirini tukielewana
 
TOFALI ZINA UKUBWA GANI?KWA MAANA TOFALI NGAPI ZA KUCHOMA ZINACHUKUA NAFASI YA TOFALI MOJA LA `BLOCK`AU KWA WASTANI TOFALI NGAPI ZINATOSHA KUJENGA NYUMBA YA VYUMBA VINNE,SELF.VIPI UBORA WA TOFALI ZENYEWE.HAZIPUKUTIKI?
Ukubwa wa tofal ni inch 3 na robo, maswali hayo mengine ni ya kiufundi na sina taaluma nayo. Labda kwa jibu hapo juu waweza jua kwa makadrio ya block za cement inakuaje, asante
 
Umelielewa swali lakini??
Nimelielewa labda nijibu hivi, kuhusu usafiri ni juu ya makubaliano yako wew na dereva, lakin ninachofaham ni ghali kwa mpaka dar, tripu moja ya tofal elf moja wanabeba kwa 25 elf hapo kwa umbal wa kutoka kauzen hadi maeneo ya mzumbe, na mpaka mindu inafika had elf 45 per trip.
 
TOFALI ZINA UKUBWA GANI?KWA MAANA TOFALI NGAPI ZA KUCHOMA ZINACHUKUA NAFASI YA TOFALI MOJA LA `BLOCK`AU KWA WASTANI TOFALI NGAPI ZINATOSHA KUJENGA NYUMBA YA VYUMBA VINNE,SELF.VIPI UBORA WA TOFALI ZENYEWE.HAZIPUKUTIKI?

Mkuu tofali za kuchoma ni imara sana....nimeona majumba kibao yaliyojengwa mamia ya miaka na matofali haya still yapo imara sana....
d8f1225c0199401234fc1e5b38ce78b4.jpg
 
Ukubwa wa tofal ni inch 3 na robo, maswali hayo mengine ni ya kiufundi na sina taaluma nayo. Labda kwa jibu hapo juu waweza jua kwa makadrio ya block za cement inakuaje, asante
Na kuhusu ubora ziko vizur sana.
 
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuweka picha humu.
 
Mkuu hii ni fursa ya wewe kufanya biashara.....zungumza na wenye mafuso pale msamvu...kwamba wanaweza kupeleka tofali Dar kwa kiasi gani.....alafu uje uwaambie wadau.....
Asante ngoja nifanye hivo, ntaleta mrejesho leo leo. Asante kwa wazo
 
Ukiweza tuwekee sample ya hayo matofali yako tuyathaminishe kisha tuongee biashara
 
Back
Top Bottom