Tofali za kuchoma kwa wakazi wa Morogoro

Kwa kukusaidia kwa dar, kibada zinapatikana pia. Na iman zitakua rahisi zaid kuliko kutoa morogoro mpaka dar
Mkuu ni Kibada sehemu gani unaweza kunipa muongozo nazihitaji tofali hizi
 
Kama umewahi kusafiri na kwenda nyanda za juu kusini hasa mikoa ya mbeya na iringa tofali hiziza kuchoma ndio zinazotumika katika ujenzi na ni imara sana ukipata zile zenyeudongo halisi wa mfinyanzi, ujenzi wa block kwa iringa na mbeya umekuja miaka ya sasahivi, View attachment 410884
Hizi tofali za Rungemba bila shaka
 
Kama umewahi kusafiri na kwenda nyanda za juu kusini hasa mikoa ya mbeya na iringa tofali hiziza kuchoma ndio zinazotumika katika ujenzi na ni imara sana ukipata zile zenyeudongo halisi wa mfinyanzi, ujenzi wa block kwa iringa na mbeya umekuja miaka ya sasahivi, View attachment 410884
Bila kusahau Mkoa wa Njombe na Rukwa.
 
Back
Top Bottom