Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuuliza hivi,Nikitaka uniletee mpaka Dar utanifanyia kiasi gani??
Mimi nafahamu kua gharama za usafiri ni juu yangu, nilichokuuliza ni kua hizo gharama za usafiri ukiziongezea kwenye tofali inakua shilling ngapi??Hapana gharama za usafiri zipo juu yako, hiyo ni bei tofali tu. Karibu
Umelielewa swali lakini??
Hukua umenielewa,Nimelielewa labda nijibu hivi, kuhusu usafiri ni juu ya makubaliano yako wew na dereva, lakin ninachofaham ni ghali kwa mpaka dar, tripu moja ya tofal elf moja wanabeba kwa 25 elf hapo kwa umbal wa kutoka kauzen hadi maeneo ya mzumbe,
Asante kwa kunielewesha zaidi, nimeshauliza kuhusu usafiri gari nizopata zina tani 20 na kwa tani unalipia elfu ishirin zinaweza kuingia tofal elfu kumi na tano.Nilikuuliza hivi,
Mimi nafahamu kua gharama za usafiri ni juu yangu, nilichokuuliza ni kua hizo gharama za usafiri ukiziongezea kwenye tofali inakua shilling ngapi??
Hukua umenielewa,
wewe ulijibu kama vile nimekuembia uniletee dar kwa bei hiyohiyo ya 100/= wakati sikumaanisha hivyo.
Anyway, kama alivyosema mkuu pale juu jaribu kuongea na wenye mafuso wakuabie kutoa tofali huko mpaka Dar ni kiasi gani, pia ufanye utafiti labda Fuso tani 10 linachukua tofali ngapi
Ngoja Tuanze hesabu,Wakuu NEGLIGIBLE Gsana na Shark...majibu nimepata ya usafiri kuwa gari la tani 20.linaweza kubeba tofal elf 15 kwa shilingi elf 20 kwa kila tani. Asanteni na kwa mawasiliano zaid naomba niwatumie namba yangu PM. Karibuni
Yeah,
SafiYeah,
Ingawa hii unit cost haiko applicable kwa any amount of tofali,
Hiyo ni average Unit Cost, ingawa ukichukua tofali 10,000 haitokua Tshs 126.67 x 10,000 = 1,266,667 sababu hapa kazungumzia usafiri wa Gari ni hiyo Tshs 400,000/= abayo nadhani iko fixed.
Kwa tofali 10,000 inaweza kua (Tshs 100 x 10,000) + 400,000 = Tsh 1,400,000 (Unit Cost/Average Tshs 140/tofali)
Mkuu najua wewe ni QS au Architecture, pengine una uzoefu kwenye mambo ya ujenzi,Safi
Kama umewahi kusafiri na kwenda nyanda za juu kusini hasa mikoa ya mbeya na iringa tofali hiziza kuchoma ndio zinazotumika katika ujenzi na ni imara sana ukipata zile zenyeudongo halisi wa mfinyanzi, ujenzi wa block kwa iringa na mbeya umekuja miaka ya sasahivi,Mkuu najua wewe ni QS au Architecture, pengine una uzoefu kwenye mambo ya ujenzi,
Hizi Tofali zikichomwa sawa sawa si zinakua angalau angalu kiasi nyumba unajengea poa tu
SawasawaNgoja Tuanze hesabu,
Gari ya Tani 20 itabeba kwa Tshs 20,000 kila Tani, hivyo Gharama za usafiri = Tshs 20,000 x Tani 20 = Tshs 400,000/=
Tofali nazo zikiwa 15,000 zitauzwa Tshs 100 x 15,000 = Tshs 1,500,000/=
So jumla ya kununua na kusafirisha tofali 15,000 itakua Tshs 1,500,000 + 400,000
= Tshs 1,900,000/=
Niko Morogoro nahitaji tofali ndogo size 100mm upana, 100mm urefu kwenda juu na 250mm urefu, zilizochomwa kwa makaa ya mawe, Naweza kupata wapi kwa Morogoro na bei yake ikoje.Bado zipo, wasiliana nami kwa mwenye uhitaji.
unaweza nisaidia contact za hapo kibada? au maelezo yanayoweza kunifikisha.Kwa kukusaidia kwa dar, kibada zinapatikana pia. Na iman zitakua rahisi zaid kuliko kutoa morogoro mpaka dar