Tofauti 3 kati ya Samia Suluhu na Hayati Magufuli

Ukisoma hapo unamuona Magufuli kabisa. almost every feature of Economic Nationalism inamfit Magufuli. Hoja yako hasa ilikuwa ni kitu gani?
 
CCM hawana itikadi yoyote, bali anachotaka mwenyekiti wao wote hufuata bila kuhoji. Kinachofanyika ni genge la mwenyekiti kutengeneza propaganda kuendana na mwenyekiti anayekuwa madarakani, maana sifa pekee ya CCM kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti, ni kupitia kofia ya urais ya mwenyekiti wao.

Nakumbuka wakati wa JK walikuwa na mpango wa umeme wa gas, wakatengeneza porojo zote, huku wakisema umeme wa maji tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Alipokuja Magufuli akasema umeme wa maji ni wa gharama nafuu. Hakuna mwanaccm aliyefungua mdomo kusema tatizo la mabadiliko ya tabia nchi, bali walisifia mwanzo mwisho. Sintoshangaa akija rais mwenyekiti mwingine akisema umeme wa jua au nuclear ndio bora, wote wataunga mkono, na kupanga tena chorus kuendana na utashi wa mwenyekiti wa wakati huo. Huwa nawapuuza sana.
 
wewe huna akili na wenzako pia utamlinganisha makufuli na samia, makufuli halinganishwi na awamu yoyote yule ni rais wa africa jembe nembo ya tanzania
 
This is member
 
Ujinga mtupu tu kumsifia mtu ameingia tu na kuporomosha uchumi wa nchi kutoka uchumi wa kati.
Alichofanya samia ni kuwapa ishara fisadi na wapigaji kwamba sasa wanaweza kuendelea na upigaji bila shaka wala wasiwasi. Magufuli hajawahi kua kikwazo kwa uwekezaji kutoka nje wala nchi haikuwahi kua na shida ya kukimbiwa na wawekezaji wa kweli. Waliyokimbia ni wawekezaji wababaishaji tu.
 
Hapo ndio unaona hawa wasaliti wanavyojaribu kuhalalisha mpinga maendeleo na mpenda ubepari na wapiga dili samia na mjamaa na mtu makini magufuli.
 
Mwambie 2025 aame chama kisha agombee chama pinzani kwa kubebwa na hizo sifa.
 
Nikimfikiria Ndugai na Pole Pole sidhani kama samia ana uvumilivu.

Samia hapendi kupingwa ukimpinga hadharani anakuondoa haraka mfano ni hao niliowataja.
 
Hapo ndio unaona hawa wasaliti wanavyojaribu kuhalalisha mpinga maendeleo na mpenda ubepari na wapiga dili samia na mjamaa na mtu makini magufuli.
Mimi pia simkubali Magufuli, ninachohoji ni kwa nini CCM wanakuwa wanashangilia kila kila mtu hata mmoja akiwa kinyume na mwenzake?
 
Nikimfikiria Ndugai na Pole Pole sidhani kama samia ana uvumilivu.

Samia hapendi kupingwa ukimpinga hadharani anakuondoa haraka mfano ni hao niliowataja.
Na ukimfikiria Tundu Lisu na Ben Saanane?
 
Ukisoma hapo unamuona Magufuli kabisa. almost every feature of Economic Nationalism inamfit Magufuli. Hoja yako hasa ilikuwa ni kitu gani?
Naona unachagua hoja za kujibu, nyingine unazuga kama huzioni vile

😂😂
 
Na hii ndio sababu ni ngumu kuwatoa CCM maana wanabadilika kiitikadi wakati ambapo vyama vya upinzani havina itikadi
 
The beatiful ones are not yet born
 
Na hii ndio sababu ni ngumu kuwatoa CCM maana wanabadilika kiitikadi wakati ambapo vyama vya upinzani havina itikadi
Wana itikadi gani sasa CCM? Yaani Magufuli kafa kwa bahati mbaya kaingia makamu wake na mawazo tofauti kabisa ndio unasema chama chenye itikadi hicho? CCM hawana itikadi bali kufuata mawazo ya mwenyekiti

Kinachowabakisha madarakani mostly ni jeshi la polisi na JWTZ
 
Fact 100%
 
Kwani Magufuli angehama
CCM unadhani angeshinda?
Magufuli si anaonekana hakuwa kiongozi mzuri hivyo kama angehama chama na akashindwa uchaguzi jibu lingekuwa ni kwa sababu hakuwa kiongozi mzuri, sasa samia ambaye anaonekana anaongoza vizuri haijawahi kutokea na wananchi wanamkubali basi afanye kuhama chama kisha agombee tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…