Tofauti ipo kubwa sana kati ya Diamond na Ali kiba

Tofauti ipo kubwa sana kati ya Diamond na Ali kiba

Kwa sasa hakuna ubishi kabisa level nzima Rock Star haiwezi kushindana na Diamond peke yake tena wimbo ambao ni wa kawaida sana na ninategemea swala la ubishi lililopo nani mkali kati ya Diamond na Ali kiba litakuwa limepata majibu[/QUOTE]Sasa Kama ni wakawaida, wewe unazungumzia nini? Maaaana hatujajua concern yako ni ubora wa nyimbo ndio unawatofautisha au ni wingi wa watu wanaomfuata? Kama ni wingi basi hata biere liquid anafuatwa na wengi kuliko waziri wet mkuu
 
Ukiweza kujibu. .. Kwa nini Mondi alijitoa vevo.. YouTube unaweza kufanya smart finger Vevo huwezi
 
Kumlinganisha Mondi na Kiba nikumshushia heshima Mond
 
Wakati wenzetu wanacheza na 20m kwa masaa matano sisi tunahangaika na 1m kwa masaa 16 hahahaha life is not fair kabisa
 
kuna yeyote kati yao kajenga kiwanda maana tunaambiwa tanzania ya viwanda yaja
 
Unajua tofauti ya Vevo na YouTube. Wasanii wote wakubwa wanatoa nyimbo zao vevo. Kwa nini Mondi alijitoa? .
Hujui lolote kuhusu tofauti kati ya Vevo na YouTube!

Akaunti ambazo majority mnadhani ni Vevo sio Vevo Accounts per se bali ni Vevo YouTube Channel Accounts! Kwamba, Vevo as a company wana YouTube Channel. Kupitia hii YouTube channel ya Vevo ndiko wanafungua hizo accounts ambazo wewe na wenzako mnadhani ni Vevo!!

On top of that, hakuna tofauti yoyote linapokuja suala la Views kati ya akaunti za kawaida za YouTube na zile ambazo mnadhani ni za Vevo kwa sababu ZOTE zinakuwa monitored and managed na YouTube/Google na sio Vevo!
 
Mondi hawezi kuimba bila kiba??
Kiba hawezi kuimba bila mondi??
Wakati mnahangaika kuwa compare. Wenzenu wana make pesa hawana shida..
Na wale jamaa wa despacito wasemaje sasa kama hizi 1m viewers za mondi mnaita nyingi??
 
watu wanashindana na watu ambao wanatakiwa kuwauliza walitumia mbinu gani kufika kwenye hayo mafanikio yao,,matokeo yake wanatumia nguvu kujikakamua mpaka mavi yanawatoka,,kiba anatakiwa atulie mashindano hayawezi,
 
Ukiweza kujibu. .. Kwa nini Mondi alijitoa vevo.. YouTube unaweza kufanya smart finger Vevo huwezi
Duh! We jamaa mbona kila post ni issue za Vevo tu! Hivi uliambiwa what's so special huko Vevo?!

Jibu fupi ni kwamba, kwa mjanja mtafuta pesa hawezi kuwa Vevo kwa sababu mgawanyo wa mapato kupitia Vevo ni mkubwa ukilinganisha na YouTube!

Na hapa ningependa kusisitiza kwamba zile za akina Kiba zinazoonekana hadi Kariakoo ni Vevo Mirror Accounts ambazo zipo YouTube na sio Vevo!

Sio kwamba hawana ORIGINAL Vevo accounts bali kupitia original Vevo accounts walikuwa hawafikishi hata Views 1000 kwa sababu Vevo original ilikuwa inapatikana mbele peke yake! Kwa Afrika kama kuna nchi zilikuwa unaweza ku-access Vevo basi hata 5 hazifiki… na kati ya hizo hakuna hata moja kutoka East Africa!

Mond ni msaka pesa… hawezi kufanya jambo kwa sifa eti yupo Vevo wakati anajua akiwa YouTube anapiga pesa kubwa kuliko kupitia Vevo!

Na labda tu nikujuze kwamba hata hao Vevo wenyewe wameshafungasha virago vyao na focus yao yote ipo YouTube!

Kiba hata kama alitaka kutoka Vevo (na-assume na yeye angekuwa mjanja kama Mond) ingekuwa ngumu kwa sababu moja ya wamiliki wa Vevo ni Sony! Ingawaje hata UMG nao ni wamiliki wa Vevo, lakini mkataba wa Mond na Kiba kwa hizi multinational companies ipo tofauti!
 
480k subscriber, hapa hawezi toboa 1M within a day
Kumbuka seduce me within 38 hours iligonga 1M viewers akiwa na subscribers 30k tena Vevo channel
 
Attachments

  • IMG_20190424_051540.jpg
    IMG_20190424_051540.jpg
    25.8 KB · Views: 18
masahihisho

aliyetoa wimbo ni ommy dimpoz na sio ali kiba

Pili wimbo huo wa rockstar utausikiliza miaka 20 ijayo, wimbo huo wa uwizi utausikiliza wiki tu
Sio kweli unless kama hufahamu maana ya matumizi ya "X" kwenye wimbo ambao ndani yake kuna zaidi ya mtu mmoja!
Cheed.png

All in the all, what's the difference?! Mbona Diamond mara kibao tu huwa ana-feature na wale madogo na video kuwa kwenye accounts za wale madogo lakini bado zinakimbiza?!
 
Duh! We jamaa mbona kila post ni issue za Vevo tu! Hivi uliambiwa what's so special huko Vevo?!

Jibu fupi ni kwamba, kwa mjanja mtafuta pesa hawezi kuwa Vevo kwa sababu mgawanyo wa mapato kupitia Vevo ni mkubwa ukilinganisha na YouTube!

Na hapa ningependa kusisitiza kwamba zile za akina Kiba zinazoonekana hadi Kariakoo ni Vevo Mirror Accounts ambazo zipo YouTube na sio Vevo!

Sio kwamba hawana ORIGINAL Vevo accounts bali kupitia original Vevo accounts walikuwa hawafikishi hata Views 1000 kwa sababu Vevo original ilikuwa inapatikana mbele peke yake! Kwa Afrika kama kuna nchi zilikuwa unaweza ku-access Vevo basi hata 5 hazifiki… na kati ya hizo hakuna hata moja kutoka East Africa!

Mond ni msaka pesa… hawezi kufanya jambo kwa sifa eti yupo Vevo wakati anajua akiwa YouTube anapiga pesa kubwa kuliko kupitia Vevo!

Na labda tu nikujuze kwamba hata hao Vevo wenyewe wameshafungasha virago vyao na focus yao yote ipo YouTube!

Kiba hata kama alitaka kutoka Vevo (na-assume na yeye angekuwa mjanja kama Mond) ingekuwa ngumu kwa sababu moja ya wamiliki wa Vevo ni Sony! Ingawaje hata UMG nao ni wamiliki wa Vevo, lakini mkataba wa Mond na Kiba kwa hizi multinational companies ipo tofauti!

halafu utakuta hata dimond hakujui, hakulipi, mahaba tu

Ali Kiba ni King, yuko hivyo atabaki hapo hapo. Diamond will never be a King!

King huwa anabaki na yuko moderate, hatoi siri za chumbani mwake na kuchitiwa nawanamke wake

Diamond bila kick hawezi

na kwa nn kaiba wimbo?

Back
Top Bottom