stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,249
Unajua tofauti ya Vevo na YouTube. Wasanii wote wakubwa wanatoa nyimbo zao vevo. Kwa nini Mondi alijitoa? .Hao subscriber kawa nunua au kawaokota, hustle of sweat and blood bado apewe heshima yake.
Hujui lolote kuhusu tofauti kati ya Vevo na YouTube!Unajua tofauti ya Vevo na YouTube. Wasanii wote wakubwa wanatoa nyimbo zao vevo. Kwa nini Mondi alijitoa? .
Duh! We jamaa mbona kila post ni issue za Vevo tu! Hivi uliambiwa what's so special huko Vevo?!Ukiweza kujibu. .. Kwa nini Mondi alijitoa vevo.. YouTube unaweza kufanya smart finger Vevo huwezi
Kumbuka seduce me within 38 hours iligonga 1M viewers akiwa na subscribers 30k tena Vevo channel480k subscriber, hapa hawezi toboa 1M within a day
Hujanielewa kiongozi... Ali kiba hawezi fikia ile level aliyonayo Nasibu kwa sasa
What's the difference kati ya hiyo channel uliyotaja na YouTube?!Kumbuka seduce me within 38 hours iligonga 1M viewers akiwa na subscribers 30k tena Vevo channel
Sio kweli unless kama hufahamu maana ya matumizi ya "X" kwenye wimbo ambao ndani yake kuna zaidi ya mtu mmoja!masahihisho
aliyetoa wimbo ni ommy dimpoz na sio ali kiba
Pili wimbo huo wa rockstar utausikiliza miaka 20 ijayo, wimbo huo wa uwizi utausikiliza wiki tu
Duh! We jamaa mbona kila post ni issue za Vevo tu! Hivi uliambiwa what's so special huko Vevo?!
Jibu fupi ni kwamba, kwa mjanja mtafuta pesa hawezi kuwa Vevo kwa sababu mgawanyo wa mapato kupitia Vevo ni mkubwa ukilinganisha na YouTube!
Na hapa ningependa kusisitiza kwamba zile za akina Kiba zinazoonekana hadi Kariakoo ni Vevo Mirror Accounts ambazo zipo YouTube na sio Vevo!
Sio kwamba hawana ORIGINAL Vevo accounts bali kupitia original Vevo accounts walikuwa hawafikishi hata Views 1000 kwa sababu Vevo original ilikuwa inapatikana mbele peke yake! Kwa Afrika kama kuna nchi zilikuwa unaweza ku-access Vevo basi hata 5 hazifiki… na kati ya hizo hakuna hata moja kutoka East Africa!
Mond ni msaka pesa… hawezi kufanya jambo kwa sifa eti yupo Vevo wakati anajua akiwa YouTube anapiga pesa kubwa kuliko kupitia Vevo!
Na labda tu nikujuze kwamba hata hao Vevo wenyewe wameshafungasha virago vyao na focus yao yote ipo YouTube!
Kiba hata kama alitaka kutoka Vevo (na-assume na yeye angekuwa mjanja kama Mond) ingekuwa ngumu kwa sababu moja ya wamiliki wa Vevo ni Sony! Ingawaje hata UMG nao ni wamiliki wa Vevo, lakini mkataba wa Mond na Kiba kwa hizi multinational companies ipo tofauti!