Tofauti ipo kubwa sana kati ya Diamond na Ali kiba



published february 2019 mpaka sasa una viewers 82k, why
 
halafu utakuta hata dimond hakujui, hakulipi, mahaba tu
Pole sana, najua nimekuumiza baada ya kukuumbua! Narudia, ACHA UONGO!!

Ali Kiba ni King, yuko hivyo atabaki hapo hapo. Diamond will never be a King!
Nani alimpa huo u-King kama si alijipachika mwenyewe baada ya kupotea kwenye game kwa takribani miaka miwili, akarudi na kujipachika u-King na kuingia na kiti kwenye show ya Fiesta ambayo Clouds waliifanya kila msanii aingie na staili yake na yeye ndo akaja na staili ya u-King huku akidai amekuja kuchukua kiti chake!!!

King huwa anabaki na yuko moderate, hatoi siri za chumbani mwake na kuchitiwa nawanamke wake
Tunazungumzia muziki; how come mtoto wa kiume unafuatilia habari za mambo ya chumbani ya mwanaume mwenzako?!

Diamond bila kick hawezi
Mtaishia kusema bila kiki hawezi lakini kila mwenye akili timamu anafahamu kiki haaijawahi kumfanya mtu akadumu kwenye game for 10 years!!
na kwa nn kaiba wimbo?
NI zuzu tu ndio anaweza kuamini wimbo uliopo YouTube for only 2 months unaweza kuibiwa na mtu mwingine!!

But all in all, beat imetengenezwa na Laizer, ambae ni WCB ya Diamond!

Mashairi ya original version ameendelea nayo na kuongezea mengine baada ya kuyatoa mashairi ya King Tee!

Sasa hapo ameiba nini?!

Hivi umeshawahi kujiuliza ni kwanini ingawaje King Tee anabanwa na mashabiki wake aseme what's going on lakini anaishia kuongea tungo tata?! To help you, anafahamu what's going on lakini ameamua kupiga kimya na kujibu kwa tungo tata kwa sababu anafahamu hili ni bonge la stunt kwake!!! Kuna watu kibao wamemfahamu KT kupitia hii issue!!
 
Vevo makes you look more"legit"as an artist.. Dimpoz alisema ujanjaujanja akapewa sumu. Tafakari
 
Vevo makes you look more"legit"as an artist.. Dimpoz alisema ujanjaujanja akapewa sumu. Tafakari
Ndo maana nimekuambia huijui Vevo! Zile akaunti za akina Kiba sio za Vevo bali ni Vevo mirror accounts zilizopo YouTube! Kama unaamini ujanja ujanja kupitia YouTube upo (kimsingi; HAUPO ingawaje watu wanadanganyana eti unaweza kununua Views) basi hata huko Vevo Mirror accounts ujanja ujanja upo kwa sababu kimsingi na zenyewe ni YouTube accounts! Accounts zenyewe za Vevo hazipo vile... interface yake ni full black!

Hao akina Dimpoz mnaowasikiliza hawajui lolote kuhusu YouTube vs Vevo!!
 
huyu diamond zama zake zimeisha siku hizi akitoa wimbo bila kumshirikisha akina harmonize ni zero,kwa mimi harmonize yupo mbali sana kumpita diamond.
ukiitwa mpuuzi utabisha??
Embu tuambie ni mbali wapi alipo harmonize ambako kampita diamond?
 
Mnaobishana kuhusu wanaume mwenzenu na kuandika comments ndefu ndefu tuwaletee maji nahisi makoo yamewakauka
 
Biashara matangazo
 
Sishabiki yoyete hapo mimi nashabikia miziki ya akina Don Williums, Kenny Rogger, Doll Parton nk, Ila Diamond ni level nyingine kabisa.
Njoo uchukue albam zote za hao uliowataja.
Country tamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…