Tofauti kati ya CCM Digital na Chadema Digital

aliyewaita hao ni nani? wao ndiyo wanaomba kwenda ikulu ili kurekebisha mambo yao kibiashara hakuna mtu anawaita ikulu umechemsha hatahujui kinachoendelea nchini
Mbona wewe huendi ikulu au wewe huna shida? wananchi wangapi wana matatizo lukuki wanataka kwenda ikulu na hawaendi? madaraja yapo mpaka mbinguni mzee, tatufa pesa upate heshima.
 
CCM ndiyo chama cha haki usawa na kila lililo jema CDM ni ubaguzi kwa kwenda mbele nyimbo haziimbiki anaimba mbowe pekeyake
umesahau na chenye demokrasia ya kweli na kupokezana nafasi
 
Mbona wewe huendi ikulu au wewe huna shida? wananchi wangapi wana matatizo lukuki wanataka kwenda ikulu na hawaendi? madaraja yapo mpaka mbinguni mzee, tatufa pesa upate heshima.

ingekua ivo maombi yao yangekua yanaskika ya kwanza mbna, sielewi mlikua mnahubiri haki gan mpaka apo
 
Duniani binadamu hatufanani na hatutakaa tufanane...PIA ukitoa 2500 kwa mwaka Au 200,000 kwa mwaka wote tunakuwa wanachama Watiifu wa CDM NA HAKI ZETU ZNAKUWA SAWA.. . PIA KAA UKIJUA CDM HAITAKAA IFANANE NA CCM KAMWE...

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Nishagundua kumbe UNA MATATIZO YA AKILI

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Political persuasion, wealth and Influence, these are bed fellows.
 
Kwa CCM hakuna Mwanachama tajiri au masikini, wote wamewekwa katika kapu moja. Masikini na tajiri wote wanalipa ada ya Uanachama ya Tshs. 1,200/= kwa mwaka.
Kwa CCM akuna mwanachama tajiri au masikini
Masikini na tajiri wote wanalipa...

Kuna mdau humu kama sijakosea ni dmkali angetusaidia hapa
 
Yaani unafurahia uhuni wa Mbunge anayelipwa 12m kwa mwezi kulipa ada ya 1200/-?
 
Hata NMB KUNA AINA TATU ZA KADI.
 
Huo wako ni ugoro original na mtupu. Mimi nilijiunga na CHADEMA digital miaka mitatu iliyopita na kulipa ada yangu ya mwaka ya tshs 2000.
Kawadanganye wadangaji wenzio tu.
 
Hivi umaskini ni sifa?? Kuna wakati tulisema Maadui watatu UJINGA,MARADHI na UMASKINI,ni lini tulipopatana na UMASKINI.Kwa maana ni kama vile watu wanaona kana kwamba UMASKINI ni jambo la kujivunia na kushabikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…